Recent content by Halima Msasambuaji

  1. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: TRA Sijawatuma mkusanye kodi ya dhuluma

    Sasa yeye si ndioe aliagiza wamachinga wasisumbuliwe
  2. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wetu katika nchi za nje...

    Mabalozi ni tatizo,wengi wao ni ex spy, military Chief ,ukiacha China balozi zetu nyingi wamejaa wajedaa Ndio maana ufanisi mdogo Sana,diplomats wazuri wapo wengi tu
  3. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

    Sasa siwapeleke wanajeshi walalale
  4. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Mlima Magara una_barabara yenye kona nyingi zaidi Tanzania, ukilinganisha na mlima kitonga na sekenke ambayo ambayo watu wengi wanaisifia.

    Hii barabara nimeshapita Kama miaka miwili iliyopita Haijatisha Sana, ila zile escarpment ndio zinatisha Haina tofauti Sana na nyangoro au senkeke ya zamani
  5. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Watu 14 Kizimbani kwa tuhuma ulanguzi wa korosho

    Mahakama inafanya kazi jumapili ?
  6. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara(NW Mteule - TAMISEMI) kivutio cha wengi wanaohama

    Acha uongo munanka na kabaka wote wamekuwa mawaziri wametokea Tarime
  7. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    Kimbia fasta, king'oko
  8. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    Elfu thelasini
  9. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ajali ya gari la CAG, yaua watu 7 baada ya kugongana na gari la NSSF

    Mkuu dereva wa CAG alikuwa mzoefu Sana, namfahamu zaidi ya miaka 15 barabarani Tuseme ni bahati mbaya
  10. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ajali ya gari la CAG, yaua watu 7 baada ya kugongana na gari la NSSF

    Rip Dickson ,umekuwa dereva mzoefu kwenye magari ya serikali , Leo ajali ya gari imekuchukua
  11. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Baada ya MO kutekwa, morali ya wachezaji Taifa Stars yashuka , kuchezea kichapo dhidi ya Cape Verde

    Nimebet 50000 stars itashinda hapa nilipo nasubiria hela yangu
  12. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Sophia Houses ni mali ya nani?

    Anaitwa Fazal, walikuwa anauza mitumba ya jumla, pia ana undugu na kina fidahussein
  13. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuangalia mpira wa Ulaya ilikuwa mechi hii

    Juventus vs ajax uefa champion league final 1996 ...
  14. Halima Msasambuaji

    JamiiForums Tanzania Tafrani Kimara: Msongamano kituo cha Mwendo kasi - Abiria wakiwemo wanafunzi wazimia!

    Huu Mradi kichefuchefu sijaingia kibaruani mpaka sasa hivi
Back
Top Bottom