Sophia Houses ni mali ya nani?

Sophia Houses ni mali ya nani?

Sauda Simba sasa hivi Chabaka Kilumanga ana mke mwingine!
Aisee hapa lazima msongo wa mawazo umkute dada yetu,sasa si nae aolewe na mume mwingine bana,tit for tat kwisha.Ngoja nianze kupiga jalamba naweza kupata bingo kwa huyu mdada.
 
Kuweni bize hata mkijua, ni za nani, au Sophia ndie anaemiliki mtafanyanini
 
Niliwahi kuweka uzi kama huu miaka mingi iliyopita. Nadhani itakuwa ni mwaka 2012 kutaka kumjua sofia house. Majibu niliyopata ni kuwa mmiliki wake ni mwindi m1 tena ana uraia wa Uingereza. Dada yangu faizafoxy ana majibu mazuri kwenye hili.
 
yule aliyekuwa anatangaza english news night kali ITV?

Yeah huyo huyoo.
images.jpeg


Miaka hiyooo, hii nimetoa humu humu sikumbuki nani aliiweka.
 
Back
Top Bottom