Recent content by Half Genious

  1. Half Genious

    Nguvu tuliyo nayo wanadamu ambayo hatuitumii na wengi hatuifahamu

    Aliendika hicho kitabu hana nguvu za kiume anataka wote tukose..! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Half Genious

    Mume wa mtu ananitesa

    Itanichukua Muda sana mi kuoa ninayo yaona ni mengi sna kwenye ndoa za sasa...mke wa mtu anampost bwana ake mitandao yote na baadae anakusumbua amemiss dudu.! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Half Genious

    Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Naona mnaanza kuachagua Guest.! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Half Genious

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Tusubiri siku ya hukumu tu hakuna haja ya kubishana sana kwa sasa ujuaji ushakuwa mwingi sana..! ..kila mtu kashaiona haki na batili atakeamua kuifata ni bora kwake atake amua kuiacha nae shauri yake muda wa kurushiana aya na vitabu ushapita saa hiz.! ...muda si mrefu kitaeleweka Sent using...
  5. Half Genious

    Miaka 33 baadae, Huyu ndiye Jenny wa Arnold Schwazenegger

    Kwan hii movie ina miaka 33? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Half Genious

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Wazungu wanafikia sana huyu mzugu kajifanya yupo positive sana serikali ya magufuli kumbe anamchimba yasemwe mengi...jamaa mnafiki sana na Lissu hajababaika sema kwenye hilo la ushoga lilikiwa gumu kwake na amejitahid kulikwepa ila janaa kamkomalia na nadhan imebidi alikubali ili aungwe mkono na...
  7. Half Genious

    Kwanini Chui yupo kwenye 'The Big Five' na Sio Duma?

    Hao Big five ni wanyama hatari kabisa kwa binadamu hao ndio wanao ongoza kwa vifo vya binadamu kuliko mnyama mwingine yoyote ndio sababu hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Half Genious

    Una uhakika kwamba mke wako au mume wako hachepuki?

    Last week nimenyooosha mke wa mtu alikuwa ananitaka yeye kanisumbua kanipeleka hotel na kalipia kila kitu yeye na jana kuna kadem nimekapa zawadi ya perfume ilikiwa Birthday yake na leo kaachia goli nimefumua na kana mtu wake na nimemaliza kumla kampost bwana ake status....sasa siwaamin hawa...
  9. Half Genious

    Jamaa kapewa namba yangu na demu huko njiani kaanza kunitongoza

    Dah jamaa mwupe sana hata kutunga story ya uongo ikamshawishi mtu huwez.! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Half Genious

    Hili ni dhehebu gani jamani wadau tujadili

    We si unaona misalaba hapo...ni hao hao dini ya matawi hawajui washike lipi kila siki wanatunga mambo mapya Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Half Genious

    Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

    Mwanamke niliezaa nae nilimuacha baada ya kupewa taarifa na rafiki yake kuwa analiwa na boss wao kazin ili apandishwe cheo nikafatilia nikajua kweli nikapiga chin,mi usaliti huwa sisamehi na cha pili nilikuja kugundua ana issue za waganga sasa mtoto akiwa na miez tisa akapata wa kumuoa...
  12. Half Genious

    Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

    Huyu ni mtarajiwa wangu ila nimempata kipindi nipo naye siku za mwanzo mwanzo kibaya ni kuwa huyo mwanamke walishakutana but tukiwa tumeshaachana na hapo kashajifungua likatokea timbwili sababu yule niliyezaa naye alikuwa bado ananitaka so alikuja kwangu bila taarifa na mwenzie alikuwepo lakin...
  13. Half Genious

    Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

    Nina kesi kama yako bado sijajua chs kufanya ila ndugu wote wanajua na anaish kwa sister angu nilishamchukus kutoka kwa mama ake.....natembea na bomu mwenzenu...match za kirafiki mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Half Genious

    Watu ndani ya Mlimani city Mall

    Kinachonishangaza na wanawake asilimia kubws kuongea kingereza..! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Half Genious

    Gwajima hakukosea juu ya kauli yake kuhusu uislamu huko Marekani

    Habari GWAJIMA kasema ukweli mi ni muislam kasema ukweli kwa upande aambao alitakiwa uasemee ila ametumia hekima asiwe muogo ameficha tu baadhi ya infomation ambazo hata ningekuwa mimi ndio yeye nisingezisema Mwaka jana CNN walitoa decumentary wayoipa jina the spread of islam in...
Back
Top Bottom