Recent content by HALCYON311

  1. HALCYON311

    Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

    halafu hii mibeberu inatakiwa tufunge balozi zetu zote za kwa mabeberu ili wajue HATUWAPENDIIIII :)
  2. HALCYON311

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    https://www.skysports.com/football/news/11667/11871503/man-utds-team-of-the-decade-gary-nevilles-verdict?participants=7758-9654-7208-993-4457-102339-8461-4142-556-5924-7071&formation=442&id=44d2eb5ec8833ac164d079e90b95bffb
  3. HALCYON311

    Mizengo Pinda: Natamani Katiba ya Tanzania ibadilishwe, ili Rais Magufuli aongezewe muda zaidi

    mi nlijua anataka tubadilishe katiba... kumbe anaongelea kipengele kimoja tu!.. :( :(
  4. HALCYON311

    Joseph Kusaga: Mtoto wa kwanza (Clouds) ni wa kwanza tu

    Kiranga, Watoto wa mwisho ndo vivuruge vya hataree :) :) :)
  5. HALCYON311

    It is what it is. The man aliyekuwa na mikanda yake last time leo anatia huruma yuko mikandaless!! Thats life, nyuma geuka wa nyuma wa kwanza!

    Kwa sababu hii re-match ni muendelezo wa ile match ya kwanza... Means, mikataba yote ilifanywa mechi ya kwanza..!!
  6. HALCYON311

    It is what it is. The man aliyekuwa na mikanda yake last time leo anatia huruma yuko mikandaless!! Thats life, nyuma geuka wa nyuma wa kwanza!

    Akichukua na hii ndo atapiga hela mbaya kabisaaa... Maana kila akaemtaka wapigane yeye Ruiz ndio atakua anakula kubwa kuliko!
  7. HALCYON311

    Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Hawa wakulima mwaka huu wamechachamaa kweli... Uyu mwingine huku anataka raisi aongezewe muda, uyo wa huko anazisikizia ndege zetu airport atupore :) :) :) :)
  8. HALCYON311

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    mtu anaejisifia elimu na vitu kama izo ni limbukeni .. bora ujisifie uzoefu tutakuelewa! Nonsense :(
  9. HALCYON311

    Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Apart from everything.. Nahisi kila Mkuu amepewa jukumu la kuhakikisha atakapotoka madarakani chama chao kinabakia madarakani! Kwaio akuna anaetaka imfie.. Kinda like Mu7's type of things lakini siyo.. So, kijiti anacho mkulu.. and he is doing his things :(
Back
Top Bottom