Recent content by Halali mkinga

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    Sandali Ali, Wachane hatutaki kusumbuana baadae tusha waambia.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nurse alievalia chupi na sidiria awahudumia wagonjwa wa Corona Urusi

    Angepewa zawadi coz anawaburudisha wagonjwa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Siasa za Zitto Kabwe za Kupingapinga zinavyobuma

    Wenye akili tu watamuelewa zito. Kilaza miaka miambili huji kumuelewa zito. Na hilo halishangazi. It's a common sense.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

    Picha ni kama imetengenezwa tu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Trump asema kama kufa na tufe, lazima tuifungue nchi kuokoa uchumi

    Hapo ndipo itakapodhihilika kwamba mwanadam huchagua ujinga akadharau hekima. Mungu ni mwema na mkweli.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

    Kwa macho tiki, bado kwa vitendo.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

    Corona ndio tauni kivipi, mbona wababaishaji. Ni sawa na kusema mdomo ni pua. Kuishi na watu kazi sana. Mnachotaka mfananishe mbaka ije. Kaz kweli kweli
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

    Ntaomba kutoa majina ya watoto watakaozaliwa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kufanya biashara ya kukopesha

    Wazo limekaa kizalendo sana.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Corona Afrika

    Iko pw kila mtu atoe mawazo yake si kazi yetu kuchuja. Pumba pemben nyama tunakula.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Hawa TRA sitaki hata kuwasikia. Usipowadanganya wanakufilisi. Pia wameweka wafanyakazi wanaumia wakiona unataka kutoboa.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ufunuo kuhusu ugonjwa wa COVID19 Tanzania

    Kaz kwel kweli
  13. H

    JamiiForums Tanzania Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

    Mahali alitoa shiling ngapi? Pengine hapa ndo penye tatizo. Mahali za milion nane sio nzuri, ndo wanaangalia fidiaje ma gap.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke hapigwi: Mimi nitampiga ila kwa kuzingatia utaratibu ufuatao

    Ukiona unaweza kufata hizo hatua ujue bado hajakuudhi ila akizingua eneo ambalo wewe ndo hasa angle yako muhim lazima utakuta umepita shortcut, unarusha ngumi tu bila kufata hizo unazoita process. Process huwa zipo mahali kuna utulivu. Inaonekana ulokutana nao sio pilipili mzee. Iko miba...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Teegarden B: Sayari Yenye Uwezekano Mkubwa Wa Maisha Ya Alien.

    Hadithi tam kweli
Back
Top Bottom