Hi wanajukwaa la mapenzi!
Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.
Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.
Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.
Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.