Recent content by HAJI NAMPUNGILA

  1. HAJI NAMPUNGILA

    Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

    ASALAM ALEYKUM. WANA WAKE WA SIKU HIZI NI WA AJABU SANA MFANO MMOJA HUYO ANAE JIITA DIVA THE BOSS YULE ANATAKA 500 MIL MAHARI SASA SWALI BIKIRA ANAYO KAMA HANA HAO WALIOMTOA WALIMPA HATA THELUTHI YA KILE ALICHOHITAJI ANSWER IS NO. SASA WENGINE UTASIKIA MIMI UKE WENZA SI HITAJI LAKIN WAKUZINI NAO...
  2. HAJI NAMPUNGILA

    Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Piga chini Huyo pasua kichwa atakusumbua. Hiyo imetokea hata ktk kipindi cha SHILAWADU cha I jumaa ya tareh 2 february 18 fumanizi ilionyeshwa. Kwahio nashauri Huyo hana mapenzi ya dhati na wewe. Lakini pia wewe mwenyewe ujitasimini je hauna mchepuko
  3. HAJI NAMPUNGILA

    Nikaribisheni

    Naomba usiwe na shaka mimi nipo kama mentor wa Social Economic issues zote karibu sana
  4. HAJI NAMPUNGILA

    Lost dreams of african graduates (letter)

    I under stand your point of view. Now let's wake up and work
  5. HAJI NAMPUNGILA

    Kiongozi gani wa juu muongo kupitiliza? Wangu ni huyu...

    Hata sielewi uniunge mkono hoja au ni criticize maana ni shida!!
  6. HAJI NAMPUNGILA

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Si shauri kumrudia coz wanaletaga zarau sana hao watu Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  7. HAJI NAMPUNGILA

    Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

    Hongera yao hao ila sijui unafanyaje kujua Takwimu hizo Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  8. HAJI NAMPUNGILA

    Uongozi wa CHADEMA Ukerewe wahamia CCM jioni hii

    Bendera kufuata upepo tu na sio kujitambua Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  9. HAJI NAMPUNGILA

    Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    Pole sana Kaka mkubwa kwa mtihani wa namna hiyo maana watoto wa sikuhizi hawasikii la mnadi swala wala la muadhin. My take ktk hili ni kwamba waite ndugu zako wa kike ili wakae nae private ili waongee nae na wewe usipanik kwanza kwa hicho ulichokiona chumba ni kwake. Baada ya mazungumzo yao...
  10. HAJI NAMPUNGILA

    Picha iliyowavutia watu wengi sana nchini Kenya

    Hapana hiyo picha ni muda sana jaribu kufuatilia utagundua sio kwa sababu ya uchaguzi
  11. HAJI NAMPUNGILA

    Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

    Daa haya ngoja nikae kimya Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  12. HAJI NAMPUNGILA

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Hapa kazi tu ebu fanyeni kazi hata ninyi mtapewa Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  13. HAJI NAMPUNGILA

    Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Pole sana Kaka piga chini tu Huyo dem
  14. HAJI NAMPUNGILA

    Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Brother take your time mwanamke ambae anafikilia kutoa tigo Huyo sio na ndio maana huenda anawakubali hao wengine kwa sababu ya huo ujinga wa tigo anayo toa na wewe huenda hauendi ktk tigo so ni taabu. Naomba piga chini
  15. HAJI NAMPUNGILA

    Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Arafu nasikia kawimbo kanaitwa je sijui kafree nation... Mwakie... Naomba ukafutilie mbali maana kanachochea nakuwafanya watu wasifanye kazi... Povu
Back
Top Bottom