Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,852
- 2,175
Dah, Uzi unakimbia kwa kasiiiiii. Kisa wewe ni Ke au me!! Nyiee, nchi ya viwanda tutaifikia kweliii???? Tunawaza raha tu
Kweli ufeisti kulashi sikukosea mama thus naendelea kukuamini!Ndo inavyotakiwa,hutakiwi kuchelewa

Sio unifikirie, unikubalie tuu. Gharama tutashare. Mkubwa wewe ujue!!!Umenifanya nichekeKweli ufeisti kulashi sikukosea mama thus naendelea kukuamini!![]()
![]()


maana nimekumbuka mbali sana,enzi za
yaani wewe ndo mana huwa nakuhamu sanaUmenifanya nichekemaana nimekumbuka mbali sana,enzi za
![]()
yaani wewe ndo mana huwa nakuhamu sana
nakuhamu pia my only one pimbi. We siku hizi ndio umejificha nakutafuta zaidi ya pesaKaribu sana dada yetiHabari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Duh sasa Mimi tiali Nina mpenzi wangu
Kila la kheriHapana iLa Nina mpenzi
Hivi unamkumbuka bibi erick otieno aka husna bosslasy?
Nakukumbusha tu mimi![]()
![]()
![]()

Ndio hivyo mama.Kama husna bosslady halafu bado hawajifunzi tu