Recent content by Hai MP

  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze ku-export madaktari na manesi nchi zingine

    Kuna uhaba wa madaktar ndio ila nahisi wingi wa madaktar mtaani na manesi wasio na ajira ndio umempa wasiwasi mtoa mada na kushauri hivyo.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba mnijuze app gani naweza kuunga unga vipande vya video na kupata video moja nzima.. Msaada tafadhali kwa anaejua
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Na kwa kawaida hicho kipimo hakiwezi onyesha huna wakati unayo. Ila kinaweza onyesha unayo but unashauriwa ukacheki kwa vipimo vingine maana any STIs kinasense postive
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Kwenye C tu(Controller)
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Hahah ni hatar kikibadilika na huku ushatekeleza tukio upande wa Gaza
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Upo sawa tunachoangalia ni mda ule reaction inapotokea maana bioline test ikikaa mda inaweza badilika badilika baada ya kupima ila pamoja na mabadiliko hayo haiwezi onyesha exactly kama una hiv na huku hauna HIV inatokea endapo mstari utasimama kwenye 1 au 2 au vyote kwa pamoja
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amshauri Freeman Mbowe kutokwenda Polisi

    Ukubwa kwenye sheria????
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kujiunga na degree ya udaktari nikiwa na diploma ya clinical medicine?

    Na MD kuchukua master inakuwa vipi???
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Hongera kwa kua na finest brain[emoji2][emoji2] Kumbe medical school inakupa kiburi hihihihi jitahidi ukaspecialize CVS sasa uvimbe kabsaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Ufaulu wako nishaujua[emoji2][emoji2]
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Upo sahihi but pliz ni add mr
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Daby ni add pliz
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Unaongea kwa kua hujui machungu ya Hii Kozi Tulia wewe
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Nenda direct utapata Vipi umemaliza M.D. mwaka gani?
Back
Top Bottom