Naweza kujiunga na degree ya udaktari nikiwa na diploma ya clinical medicine?

freduu

Senior Member
Mar 23, 2012
124
40
Jamani habari zenu humu ndani,

Nilikuwa naomba kujua kama mtu aliyemaliza Diploma ya Clinical Medicine na akapata GPA ya 3.5 matokeo ya mwisho akitaka kujiunga na degree ya MD inawezekana.

Je ni matokeo yapi yatatumika maana mimi nasikia ni cumulative GPA kuanzia ya first year.

Naomba msaada kwa wenye uelewa.
 
Back
Top Bottom