Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

Liborio

Member
Feb 7, 2017
69
37
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAI
IMG_20170217_172833.jpg
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Doctor keshakuambia sasa unataka nini tena? Hata ungekuwa na ukimwi si sawa tu unataka uishi mpk lini?
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Vipi hivyo vifaa vinauzwa madukan na ww upo wapi
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Upo sawa tunachoangalia ni mda ule reaction inapotokea maana bioline test ikikaa mda inaweza badilika badilika baada ya kupima ila pamoja na mabadiliko hayo haiwezi onyesha exactly kama una hiv na huku hauna

HIV inatokea endapo mstari utasimama kwenye 1 au 2 au vyote kwa pamoja
 
Thx Hai ila bro Amani hauwez kuwa nayo.
 
Upo sawa tunachoangalia ni mda ule reaction inapotokea maana bioline test ikikaa mda inaweza badilika badilika baada ya kupima ila pamoja na mabadiliko hayo haiwezi onyesha exactly kama una hiv na huku hauna

HIV inatokea endapo mstari utasimama kwenye 1 au 2 au vyote kwa pamoja
Ili uwe hauna mstari unatakiwa uwe wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom