Nenda direct utapataNina usajili wa wizara ya afya, posho makubaliano.
Tuwasiliane 0713163751
Mwaka 2015Nenda direct utapata
Vipi umemaliza M.D. mwaka gani?
Pole mkuu kwa kushonwa hvyo....kila mtu ana ujuzi wakeUkimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Kazi inatafutwa haiji yenyeweKumbe hata nyie ni kazi kupata kazi?
Unaongea kwa kua hujui machungu ya Hii Kozi Tulia weweUkimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Unaongea kwa kua hujui machungu ya Hii Kozi Tulia wewe
Ha ha ha ha daah mkuu kama viroba tena..!Ukimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Ufaulu wako nishaujuaUchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu
Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua
Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi
Hujapata ajira au unataka kuongeza kipato?Nina usajili wa wizara ya afya, posho makubaliano.
Tuwasiliane 0713163751
MpuuziUkimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Mwaka 2015
Ufaulu wako nishaujua
Hongera kwa kua na finest brainNdio...na huo ufaulu ndio umenipeleka medical school
MissM4C niliku pm opportunities fulani hivi... Umepata my PM? Naona uko kimya.Acheni kubeza watu jamani
...kakubeat kwa hoja ukataka kuleta dharau,Hongera kwa kua na finest brain
Kumbe medical school inakupa kiburi hihihihi jitahidi ukaspecialize CVS sasa uvimbe kabsaa
Uwii , mkuu umenikata mbavu , akasomee kilimo cha maua sio na vishazi vikurupushi duuh nisheedahUchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu
Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua
Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi