Cameron **** tu...,aendeleze ujinga huo kwenye nchi yake . laiti tungekuwa na kiongozi ambaye angesema No machoni pake ingekuwa safi sana, abaki na paundi zake , halafu kampuni zao ziondoke huku Africa tukianzia .
Achaneni na Uingereza , acha kuwa omba omba....tuko waafrika zaidi ya bilioni moja sasa hivi hilo pekee ni mtaji tosha...we have to draw a line somewhere..
Afrika inatakiwa kuamka usingizini....hasa viongozi...achaneni na mahayawani hao...hawana mpango kabisa sasa tunaweza kuendesha uchumi wetu wenyewe. kama tutapata viongozi wenye msimamo. (Mbona Cuba ,North Korea,Burma, bado zipo pamoja na vikwazo vyote tutapata shida lakini tukitumia...
Hapa nafikiri ni kutambua nguvu ya Africa iko wapi...kuna zaidi ya watu Billioni moja sasa hv kwenye bara ,hili...viongozi wa Africa watambue kwamba bara hili linaweza kujiendesha lenyewe kiuchumi...bila kutegemea Uingereza au nchi nyingine yeyote, suala ni kuwa na mikakati endelevu na sauti...
Tanzania ina physcists wa kiwango gani , world class au ! basi ili mradi tu , umeshaona hata paper moja kwenye journal ya kimataifa kuhusu masuala ya nuclear iliyondikwa na mtanzania ? .
hatufanyi hata basic research kwenye masuala hayo unafikiri knowledge itatoka wapi ?
Ninapo ongelea world...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.