Mgogoro Hazina, BoT, serikalini; hakuna malipo!

Kwanini haya yote yanatokea kipindi hiki tunapoelekea kwenye kikao cha Bunge? I smell something bad...

Kwakuwa tumezoea serikali ambayo haina system inayofunction yenyewe mpaka iburuzwe na kiongozi, basi kiongozi akiwa dhaifu na system inakuwa dhaifu. Kama kuna chama kitakachoweza kujifunza, basi hili ni somo kuimarisha utawala ambao hautegemei mtu mmoja bali sera na mfumo na staili ya utawala ya kichama ambayo hata kiongozi dhaifu hawezi kuidhoofisha... Mpo
 
Kwakuwa tumezoea serikali ambayo haina system inayofunction yenyewe mpaka iburuzwe na kiongozi, basi kiongozi akiwa dhaifu na system inakuwa dhaifu. Kama kuna chama kitakachoweza kujifunza, basi hili ni somo kuimarisha utawala ambao hautegemei mtu mmoja bali sera na mfumo na staili ya utawala ya kichama ambayo hata kiongozi dhaifu hawezi kuidhoofisha... Mpo?
 
Kwanini haya yote yanatokea kipindi hiki tunapoelekea kwenye kikao cha Bunge? I smell something bad...

Kwakuwa tumezoea serikali ambayo haina system inayofunction yenyewe mpaka iburuzwe na kiongozi, basi kiongozi akiwa dhaifu na system inakuwa dhaifu. Kama kuna chama kitakachoweza kujifunza, basi hili ni somo kuimarisha utawala ambao hautegemei mtu mmoja bali sera na mfumo na staili ya utawala ya kichama ambayo hata kiongozi dhaifu hawezi kuidhoofisha... Mpo
 
Nyerere alisema, " Mtu mwenye akili, akikupa ushauri wa kipumbavu na wewe ukaufuata/ukaukubali, ATAKUDHARAU sana."

KIkwete Na membe wake walikuwa wanajisifu kwenda kudai pesa ya chenchi ya rada kwa jeuri......wazungu wanawaangalia tu.........walikuwa watawamalizia wapi.....Uingereza walikuwa confortable pesa irudi lakini hoja Yao ilikuwa pesa iende kwenye NGO ..kwa hoja kuwa serikali hawakuwa na moral authority ya kudai chenci wakati waliitoa wenyewe kwa ridhaa Yao....
Wamengangania wakajuwa watawamalizia wapi........haya sasa kubalini kubanduliwa basi ....Kama mnataka pesa!!!!!!aibuuuuuu...

Jk is a joke....!
 
Na kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu serikalini, safari hii nimeshuhudia serikali ikizitumia Wizara na idara zake Exchequer hewa. Mfano mwezi uliopita wizara yetu ilitumiwa exchequer ya Operating Cost (OC) lakini ilipoaingizwa kwenye system (mtaandao) ya malipo na baadae malipo yakaanza kufanyika kwa kutumia hiyo exchequer then Voucher list kupelekwa hazina baadhi ya malipo yaliondolewa na hazina na kubakisha malipo ya mshahara tu kwa kile walichodai kuwa hakuna pesa BoT.

Sasa cha kujiulliza kama pesa hakuna BoT ni kwa nini walituma Exchequer hewa?

In lending, this is one of the typical signs for defaulting client. Expect serious warning from IMF.
 
Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.

Na nina hamu kujua dalali alipata kamisheni kiasi gani...dalali inawezekana yuko hapa hapa mjini Dar. Well, kununua hayo majengo, hela ya kamisheni si tunanunua nyumba nyingine za kuishi marekani baada ya kustaafu?
 
KIkwete Na membe wake walikuwa wanajisifu kwenda kudai pesa ya chenchi ya rada kwa jeuri......wazungu wanawaangalia tu.........walikuwa watawamalizia wapi.....Uingereza walikuwa confortable pesa irudi lakini hoja Yao ilikuwa pesa iende kwenye NGO ..kwa hoja kuwa serikali hawakuwa na moral authority ya kudai chenci wakati waliitoa wenyewe kwa ridhaa Yao....
Wamengangania wakajuwa watawamalizia wapi........haya sasa kubalini kubanduliwa basi ....Kama mnataka pesa!!!!!!aibuuuuuu...

Jk is a joke....!

Haaahaaa! Lakini Mwambao hayo mambo inasemekana ni ya kawaida sana...usijekuta kesho tukaambiwa mswada unaenda bungeni
 
Mimi nafanya kazi TRA, makusanyo ya kodi mwezi october ni less than 45% of the monthly target,then where is this country heading!!!!! Kazi tunayo!!!!!
 
Hii inatisha zaidi na shilingi inazidi kupaa, soon itakua Sh 2,000 kwa dola
 
Honestly naomba Mr David Cameron atangaze "kupata msaada lazima mkubali ushoga". Najua it's a thorny issue politically, and they will decide not to. Then tuanze kujitegemea tuone kama watanunua majumba huko nje.
Cameroon ameona jamaa wamezidi kuwa omba omba mpaka hata kwa vitu vidogo. Wakiliweza hilo atakuja na lingine la kutoa sharti la ili upate msaada lazima akushikishe ukuta kama Nape alivyodai kule Mwanza. Mijitu mizima kila siku nchi za watu kuomba omba tu hamtulii makwenu! Sasa ndo Mkome Omba omba!
 
Kununua jengo hilo ni moja, lakini jengo la ghorofa 6 New York kwa nchi inayoomba hata vyandarua vya kuzuia mbu ni maajabu ya Mussa! $24 million ni mansion ya nguvu hata kwa viwango vya wauza mafuta -Saudia. Na gharama za kuendesha jengo kama hilo ni kubwa sana. Hivi tuna shughuli gani kubwa hivyo huko New York zaidi ya kupitisha kibakuli kiasi kwamba tunahitaji jengo la ghorofa 6?

Tumeambia miradi mingi ya barabara imesimama kwa sababu hakuna hela.Mishahara imekwamba. Na kama haitoshi wafadhili nao wamepunguza hela walizo ahidi. Mfano Uiengereza wanapunguza msaada kwenye budget yetu by 30%. Tukumbuke Uiengereza ndio wanatoa kiasi kikubwa kwenye bajeti kuu ya serikali kuliko mfadhili mwingine yoyote. Wanachangia takribani 30% ya hela yote inayotelewa na wafadhili (combined). Kwa hiyo kama wanapunguza ni kwamba tutaumia vibaya. Kwa hali hii inakuwaje tununue majengo ya ki-celebrity?

Mimi Huwa Sio Mzoefu kwenye Mambo ya Budget Zetu!! Lakini Kiasi Hiki Cha pesa (Kikubwa) Je Kilipitishwa na Bunge Letu? Naomba Tujadili Hili!! Kama sio Je Kiasi Gani Cha pesa ya serekali zinatumiwa Kiholela Kama Hivi!! Tukumbuke serekali ilishasema Huwa Haifanyi Biashara!!!
 
By-the way, labda wanataka pesa zote zitumike kusherehekea miaka 50 ya uhuru. Hivi bajeti ya kufanikisha hiyo sherehe ni kiasi gani? yawezekana ndio chanzo cha mgogoro.!
 
KIkwete Na membe wake walikuwa wanajisifu kwenda kudai pesa ya chenchi ya rada kwa jeuri......wazungu wanawaangalia tu.........walikuwa watawamalizia wapi.....Uingereza walikuwa confortable pesa irudi lakini hoja Yao ilikuwa pesa iende kwenye NGO ..kwa hoja kuwa serikali hawakuwa na moral authority ya kudai chenci wakati waliitoa wenyewe kwa ridhaa Yao....
Wamengangania wakajuwa watawamalizia wapi........haya sasa kubalini kubanduliwa basi ....Kama mnataka pesa!!!!!!aibuuuuuu...

Jk is a joke....!

mwanangu ulivyoandika utafikiri unapiga story nimependa sana nkakufananisha na mshikaji Wang mmoja. Nimeipenda sana hii
 
Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.

Watanzania,watanzania mmmmmmmmmmmmmmmmmm let us wait and see.
 
siyo kweli kwamba serikalini hakuna fedha, fedha zipo ila ni matatizo tu ya mtandao.Jamani acheni uzushi.mimi niko jikoni ninajua kila kitu.Tafadhali anayedai serikali haina fedha athibitishe.
 
Nzigo upo jiko lipi wewe? Hivi mnaona fahali gani kujisifia vitu vya uongo???? Ni kweli pesa imekuwa tatizo hivi sasa kiasi kwamba hata vocha ya laki tatu wanagoma kulipa!!! Halafu wewe unakuja hapa unatuletea ngonjera za kwamba upo jikoni,endeleeni kujidanganya lakini mwisho umefika tena ni mbaya sana,kiukweli hali ni mbaya malipo hayafanyiki na hata wadai wa wizara wamekata tamaa.
 
Kwa hali ilivyo ni hakika nchi imefilisika. Miradi mingi ya miundo mbinu imekwama, serikali inadaiwa na wakandarasi wa ndani zaidi ya 500bn.

Kinachokera ni Vasco Da Gama kuendelea kula good time ulaya, achilia mbali matumizi mabaya ya fedha serikalini.
Mkuu unanipa uchungu sana unaposema nchi imefilisika wakati sisi wakaazi wa kigoma hatujapata uwanja wetu wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa na Jk wakati wa kampeni. Hatukubali kabisa atudhulumu, tumpe kura na uwanja tusijengewe!
 
Kununua jengo hilo ni moja, lakini jengo la ghorofa 6 New York kwa nchi inayoomba hata vyandarua vya kuzuia mbu ni maajabu ya Mussa! $24 million ni mansion ya nguvu hata kwa viwango vya wauza mafuta -Saudia. Na gharama za kuendesha jengo kama hilo ni kubwa sana. Hivi tuna shughuli gani kubwa hivyo huko New York zaidi ya kupitisha kibakuli kiasi kwamba tunahitaji jengo la ghorofa 6?

Tumeambia miradi mingi ya barabara imesimama kwa sababu hakuna hela.Mishahara imekwamba. Na kama haitoshi wafadhili nao wamepunguza hela walizo ahidi. Mfano Uiengereza wanapunguza msaada kwenye budget yetu by 30%. Tukumbuke Uiengereza ndio wanatoa kiasi kikubwa kwenye bajeti kuu ya serikali kuliko mfadhili mwingine yoyote. Wanachangia takribani 30% ya hela yote inayotelewa na wafadhili (combined). Kwa hiyo kama wanapunguza ni kwamba tutaumia vibaya. Kwa hali hii inakuwaje tununue majengo ya ki-celebrity?

Unapoambiwa hawa viongozi wetu wanawaza kwa kutumia masaburi hii ni kweli kabisa. Wakati mwingine unafika mahali usielewe kama hawa wamepita kwenye jengo linaloitwa shule. Huwezi kuelewa vichwani mwao huwa wanawaza nini kwa sababu wanafanya vitu ambavyo hata ambaye hakwenda shule hawezi kuvifanya.

Hata kama mtu anatumia tu ile inayoitwa "common sense" hawezi kufanya upumbavu kama huo unaofanywa na viongozi hawa wa magamba. Cha kusikitisha ni kwamba watanganyika walio wengi bado hawajafunguka vichwa vyao kuona hali hiyo. Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom