Recent content by Hafinyu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukipewa zawadi usiyoipenda utafanyaje?

    inaonekana ww ni muhehe wa dabaga!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kagera: Wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa...

    ina maana we ni tomaso huamini mpaka uone?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba mkubwa sana

    usikute huyo kaka ndo kamtoa mpaka anafikia hatua hiyo.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa wa wengi

    jaman umemtoa wapi huyu?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimebakiza Kujua Kurudisha Gari Nyuma Tuu

    mi cjaelewa, anaomba kaz au?!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Napenda kutambua uwepo wa: Wachungaji, mapadre, makatekista, watawa, mashehe,....

    mi mwenyewe m1 wapo, mpaka kitaani kwe2 wananijua. Wenzangu wanaogopa kwenda madani kwa vle mmewakamia sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini biashara ya uchangudoa hushamiri sana Dom kipindi cha bunge..??!

    kaka sio machemli tu, sema hata wabunge wanawake nao wamo kutaka vjana wadogo eti kisa damu inachemka, kumbe full kuwaua.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini biashara ya uchangudoa hushamiri sana Dom kipindi cha bunge..??!

    wakuu mmesahau ule usemi usemao ALIYE NACHO HUONGEZEWA NA ALIYE HANA ATANYANG'ANYWA KABISA! na linatimia.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    kaka mkeo ana wazo gani na anakushauri nn juu ya hiyo pesa?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Maisha sio mapenzi jua mapenzi ni sehemu ya maisha

    kamanda walio wengi hawaangalii mbali, ni sawa na mtoto kulilia pipi au biskut kumbe athali ya baadae ni kuoza meno, inabidi tufunge na kuomb kuondoa roho ya kutokujitambua.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Maisha sio mapenzi jua mapenzi ni sehemu ya maisha

    Mkuu umegusa penyewe, kwa upeo wangu mdogo nahic %90 hamajui kabisa nn maana ya mapenzi.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

    tena kibano kikianza awe mpole.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

    nahic ume2mia fulsa hii kuipa njemba yako ujumbe, ameupata ucjali.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    Ni kwel mpendwa, ila baadhi hawajafahamu ndoa ni nn na kumbuka elim zaidi juu ya ndoa inatakiwa.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    jaman papupi yupo hewan?
Back
Top Bottom