Recent content by Habdavi

  1. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

    Kipato cha kati. Hili kundi ni kubwa na ndio wenye kuamua raisi awe nani.
  2. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Kwenye Soko la Ajira la Leo, Unaweza Kukataliwa Kwa Sababu Yoyote!

    Nilipoona sababu zinazotolewa ni kwa nia ya kupunguzwa huku nikiwa na vigezo vyote, nikaamua kuachana na kutafuta ajira. Mimi ya kwangu waliniandikia 'you are overqualified for this position ' Nikasema WTF!
  3. Habdavi

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  4. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipigia magoti Marekani yaomba iondolewe vikwazo vya visa na vya kiuchumi

    Unarudishiwa ukifuata masharti ya kurudi kwa mujibu wa visa yako inavyosema. Siku unarudi home TZ inarudishwa.
  5. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtumishi wa Umma, nilikopa 20m, nimejenga, kulipa imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Umeoa au kuolewa? Au bado single?
  6. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Deni la Taifa ni kubwa mno ingawa wanasema ni stahimilivu. Shirikisho litatatua tatizo la ongezeko la ukuaji wa deni la taifa. Zaidi tujikite kuongeza mifumo ya ICT itakayojumuisha uendeshaji wa pande zote mbili.
  7. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Acha kujidhulumu kumbuka tunaishi mara moja, Ishi kikamilifu

    Wengine wamejikuta katika mazingira siyo sahihi wao kuishi kutokana na watu waliowazunguka. Ogopa sana mtu mwenye wivu ule mbaya wa mafanikio yako. Wivu ule anatamani urudi nyuma ili muwe sawa au chini yake.
  8. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

    Kuna hili lingine kutumia vyombo vya plastiki kupasha chakula kwa kutumia microwave.
  9. Habdavi

    JamiiForums Tanzania asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    Ukitaka kuwafahamu vizuri jifanye unapitia wakati mgumu kiuchumi. Mimi wangu nilikuwa nagombana naye kila siku, namuuliza au unataka uniue? Kila siku mnagombana kisa kazidisha mafuta, chumvi kwenye chakula. Ingawa hakuonyesha wazi ila moyoni alikuwa yupo radhi mimi nife. Dah nashukuru nimepata...
  10. Habdavi

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  11. Habdavi

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  12. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

    Combustion chamber
  13. Habdavi

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitambo chetu

    Huo umri lazima ubatizwe kwa moto. Ukitoka hapo wewe dhahabu safi
Back
Top Bottom