Recent content by haba na haba

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

    Kwa hiyo wakuuu matokeo ni 0-1
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

    Vipi wameongeza dk ngapi na je tunashambuliwa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

    Tunazidi kuomba jamani presha vipi umeisha wakuuu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuchinba Bwawa la kufugia samaki

    Hivi kweli hii biashara inalipa manake Kuna mtu anataka aingie ubia na mm kuhusu hii business ila kwakuwa mm niko nje ya nchi si kutilia manani ila naona watu wametoa macho ngoja na mm niihangaikie
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    CCM maskini weee wamejitia aibu kweli mwaka huu Shem on them
  6. H

    JamiiForums Tanzania Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Brio huyu anapatikana tanga
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia kwenye "Kibanda" changu

    Kaka unaweza hamia kwani kwako ni kwako tuuu then hiyo 600000 ukaengeza dhamani ya nymba yako ukaendelea na maisha taratibu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Mkuu unaweza nipa contract ya mtu yyte singida
  9. H

    JamiiForums Tanzania Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Jamani nimeongea na fundi mmona anasema mlango wa mninga wanje ni tsh 600000 na wandani ni tsh 400000 na frem zake munanishaurije
  10. H

    JamiiForums Tanzania Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Mm niko kwenye finishing jamani nahitaji milango ya kichina na ya mninga mtu alete bei yake hapa kipimo chake ni 2. 5 urefu na upana 2m
  11. H

    JamiiForums Tanzania Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Ushauri wa milango. Jamani kati ya kichina na home made
  12. H

    JamiiForums Tanzania masaada plz jamani

    Nashukuru kwa ushauri wako na wengine hapo juu ingawa siko Bongo ila na ww Jioni njema
  13. H

    JamiiForums Tanzania masaada plz jamani

    Nikweli unajua kunakusoma n kukuchukua degree Naogopa isije ikawa ni kukuchukua sio Kusoma
  14. H

    JamiiForums Tanzania masaada plz jamani

    Ameenda Leo Ndio kanipigia simu muda sio mrefu anasema kaambiwa aende na application ila nataka kusoma accountancy sasa Naogopa exemption kwenye Cpa na uwezo wa kumjenga mwanafunzi kujitetea
  15. H

    JamiiForums Tanzania masaada plz jamani

    Habari za usiku jamani natumain muwazima wa afya nimuone Niweke Hii topic hapa jamvini In short Nina mdogo wangu anataka Kuomba Chou cha kampala unversit kweli amekupenda sana sasa munanishauri vipi . Na muda umeshasogea jamani Ukizingatia kamaliza diploma huko zanzibar Thanks in adv
Back
Top Bottom