Recent content by ha ha ha

  1. ha ha ha

    kifo cha mende

    Hivi hawajawekewa boom warudi shule?
  2. ha ha ha

    Kero huduma kwa wateja Azam TV

    Yaani weniuzi hawa azam leo. Natamani niwafate saivi na usiku hùu wakanipe maelezo ya kina.
  3. ha ha ha

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Inawezekana hats nchi yako huijui!zamani kulikuwa na somo likiitwa siasa!
  4. ha ha ha

    Kauli ya Kikwete Uzinduzi wa Mitambo Kinyerezi Dar es salaam

    Hahahah ankooo! Nampenda sana.
  5. ha ha ha

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    mzee hatusiwi,hata afanye lipi?Uzee dawa,fullstop.
  6. ha ha ha

    Ole Sendeka: Lowassa aliwalipa vijana kudeki barabara Musoma na Mwanza

    shikamoo mkwawabongo,Hii kitu umeitoa wapi. Kama unayoya Janu.ari Marope tupia hapa asee!
  7. ha ha ha

    Ole Sendeka: Lowassa aliwalipa vijana kudeki barabara Musoma na Mwanza

    Hii ndo ile wanaita kuongeza nguvu kwenye mitandao ya kijamii.hahaha Kazi kwelikweli.
  8. ha ha ha

    Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

    Kwani yuko serious na ubunge? hahahahaha
  9. ha ha ha

    Nape hoi hospitali, kalazwa

    Rip ...
  10. ha ha ha

    Magufuli ateka Ikungi kwa Tundu Lisu, UKAWA KWISHA HABARAI YAO

    Lissu ni sawana wabunge million wa nyinyiemu, hata wao wanalijua.
  11. ha ha ha

    mkutano wa edward lowasa wadoda karatu.

    Acha maurongo, nimetoka karatu juzi hawataki kusikia habari ya nyinyiemu wala yule babu kigeugeu.
  12. ha ha ha

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Amelipiwa na nani hiyo show ya TV na radio zote?mamilioni yote haya a me tumia leo ili apate nini?aliemlipia gharama a napata nini?atuambie ela ya kumuweka hewani ameitoa nani?kama si rushwa.
  13. ha ha ha

    Faida za kutunza bikra

    Wanafunzi wako likizo?
  14. ha ha ha

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    urais kama umonitor darasa la tano B
Back
Top Bottom