Kero huduma kwa wateja Azam TV

Kero huduma kwa wateja Azam TV

Nakushukuru kwa ushauri kesho nitawafuata mawakala wa Dstv huko hakuna ubabaishaji
 
King'amuzi changu cha Azam kimekata matangazo baada ya kifurushi kwisha. Majira ya saa 18:30hrs kwa kifurushi cha Azam Play Tsh.30,000. Hadi muda huu zaidi ya saa 20:20hrs hakijafungua. Akaunti yangu ni 212904379094. Nimepiga huduma kwa wateja simu zote hazipokelewi hali inayoonyesha kuwa kitengo hicho hakifanyi kazi muda wote kuhudumia wateja. Nimepata hasira nafikiria hata kukivunja king'amuzi chenyewe nirudi Startime.

Mkuu umeishalipia?
 
Kama jumamosi na jumapili hawafanyi kazi basi waweke mitambo yao kama startime ukilipia automatical kinafungua. Yaani nilifura kwa hasira kushindwa kumwona sumaye. Nimerudi startime bila kutaka.
 
Ni mara ya ngapi umepata shida wakati unalipia?? Hebu soma hii kisha kama una swali niulize.

Piga *150*50*5# KABLA YA KUFANYA MALIPO. Unaweza kutumia Airtel, Tigo, Vodacom au Zantel.

-

Kabla hujafanya malipo, piga namba *150*50*5#, chagua kifurushi unachotaka na chagua kama unataka kubadili kifurushi sasa hivi. Baada ya hapo, sasa unaweza kufanya malipo kama kawaida kupitia mitandao ya simu au kwa wakala wa AzamTV, Selcom, MaxMalipo au Buttonpay.

-

Kama ulishafanya malipo zaidi ya siku mbili zilizopita na ungependa kubadili kifurushi, angalia salio kwanza, kisha lipia upya kifurushi unachotaka. Kisha piga namba *150*50*5# na chagua kama unataka kubadili kifurushi sasa hivi au baada ya kifurushi cha sasa kuisha.

-

Kuangalia salio piga *150*50*5# na chagua kuangalia salio

Kusajili huduma mpya, piga *150*50*5#, na chagua sajili huduma mpya.

-

Mfano wa 1 jinsi ya kutumia code:

Kama una kirufushi cha 12,000 kilichoisha muda wake na unataka kupata cha 20,000. Piga *150*50*5# Kabla ya kufanya malipo. Chagua kubadili kifurushi sasa hivi na chagua Azam Plus ya 20,000. Utatumiwa ujumbe ombi limefanikiwa. Baada ya hapo, fanya malipo. Malipo yakiingia kwenye akaunti yako, kifurushi kitabadilishwa baada ya dakika 5. Hakikisha umewasha king’amuzi chako.

Ukifanya kinyume na hivi, yaani ukalipia kwanza, kifurushi chako cha zamani kitafunguliwa hata ukilipa 20,000.
 
safi sana.
 
Nimelipia king'amuzi cha Azam Tv, napiga huduma kwa wateja simu zote hazipatikani, nataka wanifungulie kifurushi cha 30,000, nilipolipia walifungua kifurushi cha kilichokuwa awali,

Acha kuwasingizia Azam hawanaga huduma kwa wateja. Labda mwakani Ukawa wakichukua nchi ndo wataanzisha.
 
Huduma kwa wateja azam hata upige vipi haipokelewi utaambiwa subiri utaunganishwa hata kwa saa nzima.nililipa haikufunguka nikawapigia siku tano mfulukizo hakuna jibu.nikaenda nikawaambia hampokei simu matokeo yake wanacheka tu na kutoa majibu mepesi.kawa huamini embu piga no hizi uone.
0784108000
 
Mods peleka thread hii jukwaa husika.
Ni zaidi ya wiki 3 sasa mchana sipati picha kwenye tv. Natumia kin'gamuzi cha Azam,nimelipia kifurushi kikuu na cha Azama Sport HD. Sidaiwi,lakini sipati huduma niliyolipia.Mchana hakuna picha,ni mawingu Tu. Nimepiga namba yao customer service mara 4 siku tofauti,inaita zaidi ya dak 5,haipokelewi. Mwanzoni walikuwa sharp sana,siku hizi mhhh! Nimemwona fundi aliyenifungia,akaniambia niwapigie Azam wenyewe. Nahama,nisaidieni kampuni nafuu.
 
Huo ni ukweli, ukipiga simu Azam TV customer service hupati majibu.

Nnawashauri waige customer service ya Vodacom.
 
Kampuni nyingi tz prepaid ni shida...

Ukitaka kujua uchungu wa Voda lipia internet unlimited... hata email haitafunguka...
 
Huo ni ukweli, ukipiga simu Azam TV customer service hupati majibu.

Nnawashauri waige customer service ya Vodacom.

Kumbe wakati mwingine akili hukurudia na kuongea sensible issues? Huu ni utani tu na chembe kidogo ya ukweli
 
Huo ni ukweli, ukipiga simu Azam TV customer service hupati majibu.

Nnawashauri waige customer service ya Vodacom.
FaizaFoxy tufanye nini? Hii biashara huria,lakini wanatuibia. Muda wa kifurushi nilicholipia unaisha,huduma duni sana. Huu ni uwizi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani weniuzi hawa azam leo. Natamani niwafate saivi na usiku hùu wakanipe maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom