CCM Blog: NAPE AWASAMBARATISHA UKAWA MTAMAYaani ccm ikishinda mtama itakuwa ni muujiza mkuu toka kuumbwa kwa dunia.

mgombea wa ukawa ni ISIHAKA MCHINJITA[/QUOTE
Mtama wamepewa CUF kupitia UKAWA.
Baada ya Mathew kukatwa CCM Pinda na Nape wakampanga Mathew ajionyeshe amehama CCM ili ajiunge CHADEMA na kuchukua fomu kwa lengo la kuwagawa wapiga kura wa UKAWA. Lakini wamefeli wapigakura wamestukia dili lao. Nape kapoteza atabaki huko huko MC
Isihaka MchinjitaHabari za siku jamaa yangu Prof Ngongo.
Naomba ufafanuzi kiduchu kuhusu Jimbo la Mtama, UKAWA wamesimamisha wagombea wawili.
Mgombea CUF-katika jimbo la-Mtama, Isihaka Mchinjita.
Na Mgombea wa Chadema jimbo la Mtama, Seleman Methew.
Sasa UKAWA watampigia kura nani?
Nini kisichoeleweka ndugu yangu? Nimesema kwamba maoni ya watu wengi wanaposema Mtama wanamaanisha kile kijiji chenyewe cha Mtama ambacho kipo barabara kuu itokayo Lindi kwenda Masasi lakini tunposema jimbo la Mtama; hili ni jimbo ambalo limeundwa na vijiji vitupu na vingi vipo ndani ndani na wapita njia wala hawavifahamu! Sehemu ambazo Mathew labda anaweza kufurukuta ni hapo Mtama penyewe, Mnazi MMoja, Kiwalala na nyangao! Hivi ni vijiji vikubwa na vimechangamka sana lakini ukiacha hivyo vijiji bado kuna vijiji vingi sana vipo ndani ndani huko! Lakini hata ninaposema Mathew anaweza kusumbua, sio kwa staili ya eti ndo amshinde Nape... sioni huo uwezekano!
Kwahiyo hoja hapa ni kwamba watu wasiangalie mihemuko iliyopo Mtama pale makao makuu ya jimbo wakati wakati kuna vijiji vingi sana ambavyo hata hao waleta mada hapa hawavifahamu na hata kusikia si ajabu hawajawahi kuvisikia! Don't forget, Lindi ni mkoa mkubwa sana kieneo!

Angali hii Video, INAKUSUTASoma vizuri bandiko usikimbilie keyboard.Nimesema Nape hana watu jimbo la Mtama mikutano yake anasomba watu kutoka majimbo mengine kama Mchinga na nk.Tulia kijana dawa ikuingie taratibu utapona.
[h=3]CHADEMA NA UKAWA WABEBA WATU NA MALORI KUTOKA MIKOANI KWENDA DAR[/h]
[h=3]UKAWA WAENDELEA KUTENGENEZA MAFURIKO BANDIA YA LOWASSA[/h]