Recent content by gzenas

  1. G

    Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

    Au sababu afande Mkisi pia alikua msomi sana kwa kipinde kile mjeda unamfundisha hadi UDSM still ni headmaster jite na bado ni Kanali jeshini alikua kichwa haswa Soo wakubwa zake pia hawakupenda maendeleo yake japo alikua kichwa sana
  2. G

    Usaili TRA ni lini?

    BOT iyo kama sikosei aisee
  3. G

    TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Buffalo enzi izo alikua anamiliki pia jamaa anaitwa Rama
  4. G

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Mbonabucha alitufundishaga Physics uyo ticha form 2 c2 alikua na mguu mbovu alikua anapenda totoz sana alikua tozi smart mda wote ila walikua wanamsema ana ngwengwe kitambo sana maana wanasema mkewe alifarikigi na ngwengwe pia
  5. G

    Nipepoteza cheti cha form 4 naomba msaada

    Cheti Cheti mbadala kinakua original chief sema kinaandikwa duplicate maanake cha pili
  6. G

    Nipepoteza cheti cha form 4 naomba msaada

    Ivi soft copy hata kama ni coloured inakusaidia nini maana interview wanataka cheti original na sio copy iwe coloured bdo ni copy tu
  7. G

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Sasa vitalu si mapori ya akiba kama loliondo masalia nyumbu kuzaliana na mashamba ya wanyama pori pia kwa hili kafeli sana mama
  8. G

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Sasa vitalu si mapori ya akiba na mashamba ya wanyama pori kwa hilo mama kafeli sana yaani
  9. G

    Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

    Jamaa alivipata au alitumia njia mbadala kuanza kuvipata kimoja kimoja
Back
Top Bottom