Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,192
Hao PSRS pia watu wengi hawapati fursa za kufanya Interview kwa sababu ya vigezo finyu wanavyoviweka.Ila ukweli Sekretarieti ya ajira (psrs) ilitakiwa kuendesha interview hii, hawa tra hata siwaamini