Uyo mwanamke wako hajtambui.. au alkuaga h'hal home kwenu??
MWANAMKE ndani ya nyumba lazma ajiamin
Naww mwanaume punguza ukal ucwe km simba ndan ya mc2!!
Au mkeo anavyokuogopa ndo unaona ni heshma??
Km ndvyo badl mwelekeo...
Mij2 mingne bana...asa km huyo Maria alkua hajui kuvaa c ungemvsha apendeze ili naye awe kwny list ya kuvutia!!?
Na ole wako umuoe huyo wa chuo,utajuta maisha yako yote!!!
Kumbuka huyo wa chuo anakupenda na kukuheshm 7bu ya vjsent vyako na elewa watoto weng wa mjn wanapenda v2 vnavyoonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.