che guavala
New Member
- Nov 16, 2015
- 1
- 0
Huyo kkuacha hawez kwan hajaona chochote we mwambie akuamn sms haikua na ubaya wowote
Ahhahaha brod darling it's true ni raha sana kuona watu wanapendana kwa dhati and kuna muda unatamani Sana fulani na fulani wawe pamoja, but inategemea wahusika watalichukuliaje hilo afu wenye kakipaji ka kuunganisha watu mpo wachache.
Huyu Paulo huyu, leo Sitaki hata kumuongelea teh. Tutamdiscuss kwenye next mkesha![]()
![]()
nipo naangalia kwa mbaali, paulo Akiishia njiani natoa rushwa kwa Baba Mkwe Kaboom