Mbowe ni Shujaa wangu.
His perfomance has exceeded our expectations by far.
Hat off to FAM and Ukawa Team.
Tuambie vigezo vilivyokufanya useme hayo hapo juu. Mbowe ameproove failure kwenye maamuzi yake mengi.
..mbowe ataendelea kubakia m/kitiwa Cdm mpaka wana chadema watakavyoamua vinginevyo, na sio kuamuliwa/kushauriwa na ccm, never.
..mbowe ataendelea kubakia m/kitiwa cdm mpaka wana chadema watakavyoamua vinginevyo, na sio kuamuliwa/kushauriwa na ccm, never.
Mbowe ni dalali tu wa siasa,
Mkuu nadhani hujui unachokiongea,bora ungekaa zako kimya tu kuliko kutuchokonoa wakati bado tuna hasira na uchakachuaji na ubabe mliofanya.Hebu tule takwimu uhalalishe hoja yako, 2010 Chadema walikuwa na viti vingapi vya ubunge na sasa vingapi, walikuwa na halmashauri ngapi na sasa ni ngapi, walipata %,ngapi za urais na sasa ni ngapi?
This is blanket assessment; sasa wewe ndio umekuja na vigezo? ume-base wapi asessment.Unageneralize tu km mtu wa kijiweni
Mbowe ndiye mwenyekiti wa mioyo yao!! Ila hawachelewi kubadilika hawa manake Dr. Slaa alikuwa Rais wa mioyo yao lakini ghafla akaanza kuitwa Dr. Mihogo!!Naunga mkono hoja kwa 100%
mawazo mbadala mnayataka ninyi wa CCM. Mbowe ni mwenyekiti wetu halali hadi muda wa kipindi chake kitakapokwishaMbowe ndiye mwenyekiti wa mioyo yao!! Ila hawachelewi kubadilika hawa manake Dr. Slaa alikuwa Rais wa mioyo yao lakini ghafla akaanza kuitwa Dr. Mihogo!!
Mbowe amefanya kazi sawa, lakini kuwa mfalme hakufai. Mawazo mbadala muhimu. Watu wanataka mabadiliko lakini kwao hakuna mabadiliko!!!