Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

ahaaaaa loh jf tungekuwa tunajuana face 2 face leo lisura lako na vipua vifupi vya kibantu, ungejificha chooni.(gavunemuheto) I wish u know me, hatuko kwenye mashindano endelea kutukana.ila sikulaumu wabatu/ ABIIRU ndivyo mlivyo.

Asprin pita huku uone huyu sonko jr alivyojitoa akiri kwa watu asiowajua ili aonekane kinara jf.
Usilolijua ni sawa na......

Endelea kufanya homework. Inaonekana hilo jiwe limekupata kwenye komwe .Pole
 
Michepuko ni Ya kuichezea kama toys tu
Ikijitambua inaruhusiwa kuanza mbele kwa mbele
 
Nimegundua mleta maada ana mambo ya kitoto sana na hajaleta hii kitu walau tujifunze bali thread imejaa sifa, majivuna, uzinzi na uasherati sambamba na akili za kijinga. Sijui ulileta tukusaidie mawazo au majigambo au tukuone mwamba... Lakini mbele ya watu na busara zao haipendezi una shauriwa unaleta mambo ya kipimbi. Kamwe hutakaa ufanikiwe kwenye maisha yako hadi siku utakapo tambua thamani ya machozi ya mwanamke uende umuulize mama yako. Mara nyingi watu wenye tabia za kishenzi shenzi fuatilia historia za kwenye familia zao wengi wamepitia maisha ya ajabu ajabu wamekuwa wakiona mambo hayo ndani ya familia na kuya paste ukubwani kwao..
 
Michepuko ni Ya kuichezea kama toys tu
Ikijitambua inaruhusiwa kuanza mbele kwa mbele

They have nothing to lose...as mostly ni sex workers in nature.. Hapo ni mwendo wa kubadilishana mapenzi na pesa.. Ila wewe ndio unajishushia heshima yako na familia. Na kumfedhehesha mkeo anaonekana ameshindwa kumtuliza bwana ngoja magonjwa yaingie kwenye familia hivi yule aliyekuja anajiliza akikojoa anatoa usaha ametumia dawa mbalimbali angekupa ushauri mzuri..
 
Acha uasherati. Upumbavu wako unatuandikia hapa unaona kama siifa tulia na mkeo lea wanao
 
me nilichokielewa hapa ni kwamba unajitahidi kutuaminisha kuwa wewe ni mwanaume wa shoka ili tusishtukie kua wewe ni bwabwa au punga maarufu. Usijali sisi hatukulazimishi kuacha kupumuliwa wee endelea tu mkuu kwa raha zako
 
me nilichokielewa hapa ni kwamba unajitahidi kutuaminisha kuwa wewe ni mwanaume wa shoka ili tusishtukie kua wewe ni bwabwa au punga maarufu. Usijali sisi hatukulazimishi kuacha kupumuliwa wee endelea tu mkuu kwa raha zako

Wewe wasema
 
Mchepuko ni toy la kuchezea tu

Kila mtu yupo kimaslahi.
Wewe chezea nae utamu anapata na unamuondolea upweke ila pia wewe unawaza kumchezea nae yake yanaenda.
Ukimuacha hana hasara anakamata danga lingine lililokua pending.
 
Hata married man wapuuzi ni wa kuwalia pesa zao tu....siku wakifilisika watarudi kwa wakezao period..

Na wasipofilisika je utaendelea kuwa toy la kuchezea for life?
 
Mabibi na mabwana,

Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.

Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.

Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.

Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.

Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu. Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huu mchepuko na bibie hataki!!!

Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyu mchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke mingine mitatu zaidi yake.

Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kula tunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.

Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongoza huu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.

Wanawake: ASIKUONGOPEE MTU. LOVE OVERCOMES? LOVE RISKS ANYTHING??? TUKIWAAMBIA TUMEOA KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWA DHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakati mwingine nimeanza kuamini kuwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.

Wenu,

Mzee wa michepuko

Endelea tu kudaganya mkuu hawana shukrani hao.
 
KAFIE MBALI HUKO :smash::flame::deadhorse: TUKUPE USHAURI WA NINI WAKATI UNAJUA HICHO KITENDO UNACHOMFANYIA BINTI WA WATU SIO SAHIHI??? PUMBA KABISA.....:coffee:
 
Kama hayo ndio maisha uliochagua.. Its ur business, we dont need to know, for who for what???....utoto wako tafuta forum nyingine sio hapa jamii forum kwa wakongwe...we dare to think...hivi kwanini tusumbue akili zetu kwa mtu mpuuzi ilihali kuna mambo mengi ya msingi ya kutoa mawazo yetu...ambayo yanaweza kusaidia taifa hili.. Watu wengine mahayani sana uzinzi wako uje ututambie ili iweje kwa mfano...haya basi HONGERA endelea..👏👏👏
 
Back
Top Bottom