Recent content by GWEN

  1. G

    JamiiForums Tanzania Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Pale unaitwa mama na konda wa daladala...unajua tayari
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nabii awapa mimba waumini wake zaidi ya 20, wakiwepo wake za watu huko nchini Nigeria

    Aaaah dhambi ni dhambi tuu...isipotubiwa wote adhabu ni moja mwisho wa siku...inajirudia mno hii.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Godfrey Mliondoko, ni Mpare wa Kilimanjaro

    Hongera kwa wema huo ni vyema umetumia busara hii...ngoja tuisambaze hii bila shaka utampata..Utufahamishe pia ukifanikiwa ili tuache kuulizia....pole na hongera Mungu awasaidie.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kwenda kanisani

    Huyu aliyetukana makanisa ya kiroho yote hivi siku moja atarudi hapa kutuambia namna gani kakutana na Yesu na kujiunga nao. H aijalishi imetumwa lini hii.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je kua Mtanzania mwenye damu ya Kitusi ni dhambi au kosa la jinai?

    Mhh waishie Kigoma, wasije huku nako.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Is just Demonic dream, kama unaamini cast it in the name of Jesus, nothing bad will happen.
  7. G

    JamiiForums Tanzania JWTZ wanasa watu 4 Mtwara, kisa walishangilia mdahalo wa amani ITV

    Tumekwisha.......
  8. G

    JamiiForums Tanzania CCM itaenda kwa style gani Mtwara 2015?

    [QUOTE= Watakuja na style waloingia nayo leo, Vifaru vya vita mji mzima, kama tuko Congo,
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Yeah walikata, siyo channel zote now yamerudi....
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Niko maeneo fulani hapa, hali si shwari hata kidogo ni mwendo wa milio ya risasi na mabomu, yaani hata sijui leo itakuwaje.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Pinda ameichagua Mtwara!

    Hawa watu wana lao jambo, ni kweli huyo Dangote wanaetangazia dunia ameanza ujenzi Msijute , wapi? pori tupu pale. Mungu aingilie kati kubadili mawazo ya watu,tupumzishe hawa watu 2015...... too tired.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Simbachawene azuiwa njiani!

    Mkuu hayo siyo madai ya wana Mtwara, tafuta habari vizuri.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtwara kumekucha! Ujumbe katika mabango kuhusu gesi...Vipi Bagamoyo?

    Changeni Changeni Mlete(CCM) Watafute njia ya kutokea Mtwara maana sidhani kama wataingia tena huko kimenuka, siyo Ghasia, Mkuchika wala Membe kazi ipo......
  14. G

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

    Nimependa idea ya kurudisha ratiba za mitihani ya kidato cha sita na cha nne kama zamani...SAFI.
Back
Top Bottom