Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

Nimependa idea ya kurudisha ratiba za mitihani ya kidato cha sita na cha nne kama zamani...SAFI.
 
Mjue Mulugo.
Huyu bwana alipokuwa Mbeya Secondary alikuwa Head Prefect na alipokwenda Songea Boys alisoma masomo ya HGL alifeli FORM VI kwa KUPATA DIV 0, na aliporudi MBEYA akawa anafundisha ktk shule moja ya Sekondary ya WAHINDI pale Town kwa kutumia vyeti feki. Then yule muhindi shule ikamshinda akamwachia MULOGO akarudi kwao INDIA. From there jamaa ndo akaanza kupata fedha na alipogombea ubunge inasemekana alikuwa anajitambulisha amesoma UDSM Kumbe ndugu yake ndo alisoma UDSM anatumia vyeti vya huyo ndgu yake. Kashfa zilipozidi ndo akatoa record kuwa kasoma OPEN.
 
Hotuba yake ya south africa imezaa matunda na ina faida kubwa sana kitaifa kwani wawekezaji washaanza kuja kuwekeza kwenye ICT tuimalize kuipitia ile hotuba yake tusiishie tu kwenye introduction alisisitiza Mh Mulugo
 
Yeye mwenyewe hajielewi nyinyi mtamuelewaje jamani. Jamaa kabomu hata angejitetea au baadhi ya watu kumtetea vipi. Rudi darasani Mulugo na urugaruga wako.
 
nimehakikisha hajui tofauti kati ya Tanzania, tanganyika, zanzibar, unguja na Pemba.

Hajui!

Kabisa jamaa hajui leo amerudia tena makosa yale yale kwamba tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba,visiwa vya zanziba na tanganyika!! Hivi anavyosema visiwa vya pemba ni vipi?
 
Vichwa vyote vilivyopo bongo mpaka mataifa mengine wanatamani kuwa navyo bado tuna waziri kama huyu?
Wanawatoa wapi hawa vilaza?? Grrrrrrrrrr!!!!
 
Wakati wa kipindi cha dakika 45 , Mtangazaji wa ITV SELEMANI mwishoni mwa kipindi alimhoji mulugo kuhusu speech aliyoitoa Africa kusini. Mulugo alishtuka sana na akasema suala hilo halikutakiwa kusemwa pale kwenye yale mahojiano.
 
Hapana kasema tuandike vitu positive tu,tusiwe kila siku tunaandika negative ebu msikilize hapa nimeattach clip kidogo cha dakika mbili na sekunde 37

Anadai eti hatukusoma hotuba yake nzima.

Mbona tuliiweka humu na watu wakaisemea mbovu vile vile.

Akubali tuu alibugi.

Siku nyingine aende straight to the point kama alivyofanya yule waziri wa Lesotho.

kwa Tanzania anaona hivyo ni vitu vidogo, lakini kama ingekuwa nchi za watu angekuwa siyo waziri sasa.

Tena media tuu ingemshikia bango ile mbaya, sembuse JF.
 
Akome na kiherehere chake cha kwenda kwenye vyombo vya habari kila siku. Acha aendelee kuthibitisha kuwa anatumia vyeti vya kuiba. Nadhani. anamshangaa JK kwa nini hajamtimua hadi leo hii
 
Wakati wa kipindi cha dakika 45 , Mtangazaji wa ITV SELEMANI mwishoni mwa kipindi alimhoji mulugo kuhusu speech aliyoitoa Africa kusini. Mulugo alishtuka sana na akasema suala hilo halikutakiwa kusemwa pale kwenye yale mahojiano.

alicho sema mlugo kuwa suala lile halikupaswa kusemwa pale ni sahihi sana. huyo mtangazaji hazimtoshi anapenda cheap popularity.
 
alicho sema mlugo kuwa suala lile halikupaswa kusemwa pale ni sahihi sana. huyo mtangazaji hazimtoshi anapenda cheap popularity.
na wewe akili yako ni kama Mlugo tu huko africa kusini mlugo alienda kama nani na hapo mlugo alikuwa anahojiwa kama nani? jiheshimu na heshimu uwezo wako wa kufikiria
 
Kwanza mm nimecheka sana anaonekana hana elimu yakutosha kwani hata matamshi yake ya herufi ni kama mzaramo wa msanga kwenye R anaweka L mfano wazili , gali ,wafanyabiashala kweli huyu ni mzee wa zimbabwe
 
Back
Top Bottom