Recent content by gwala

  1. G

    Msiba Tanzaniteone

    Wandugu kuna mlinzi wa Tanzaniteone amefariki asubuhi hii mgodini. Na sasa mwili uko njiani kuelekea kcmc kuhifadhiwa. Jina ni Kaaya mwenyeji wa Bomang'ombe. Anayeweza kufatilia zaidi afanye hivyo
  2. G

    Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

    Kuna na gorofa inapana kwa fujo Atown
  3. G

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Hivi kwanini kusiwe na physical punishment kwa wabunge kwa sababu naona 2015 ni mbali mno. Tuwe tunajiunga pamoja tunawapa kifinyo labda wangebadilika
  4. G

    Maandamano ya chadema

    Habari za asubui wana JF kulikuwa na taarifa za maandamano CDM leo. kwa mwenye taarifa ya kinachoendea atujuze jamani.
  5. G

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    kuna taarifa kuwa waliokuwa kwenye Hiace wamekufa wote. daladala ilikuwa ikielekea A mjini
  6. G

    CHADEMA kuitikisa Tanzania tarehe 16

    Wakitoka huko waje Acity na kilimanjaro
  7. G

    Ngeleja ameshindwa kujibu swali

    Huyu jamaa hafai ama anajua udhaifu wa Zito wanataka wakachakachue majibu. kwa anataka wakutane nyuma ya pazia.
  8. G

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    kasema anaua wote wanaompinga unategemea nini?
  9. G

    Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

    Nahisi umetumwa kama sio muhusika wa hayo tunayopigia kelele
  10. G

    UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

    Kwa mimi ni mara ya kwanza kupost hapa jf. Lakini hata kama, hayo ni maswala ya maisha binafsi ya mtu wao inawahusu nini?
Back
Top Bottom