Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 86
Hivi Mwanamme mwenye akili timamu unaweza kulalamika kwenye public kwamba fulani anammega mke wako?? kweli?
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
weka hizo sms hapa .....acheni uzushi nyie......hio 5milioni ni kitu gani kwa Jaffarai ailiyekuwa anawezeshwa kwa mengi tu na yule dada!!!!
Jaffari haha hha rudi uswazi ulizoea mteremkoo ukome
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.
we call that cheap shit
as an african man, huwezi kujidhalilisha kuhusu anayekula mkeo kama dogo alivyofanya, pia anamchafua shyrose ambae ni mwana CCM sana tu
Imagine dume la maana linakwenda kubwabwaja kwamba mkewe anatembea na mwanaume wa maana zaidi
Umeona eeeh? Eti analia angekuwa ameoa tungejua moja yeye mwenyewe alikuwa mwizi tu. Eti kumegewa na Sugu kumeuma zaidi angutulia kama angemegewa na mtu amabye si public figure nimemuona yuko lowa sana. Mi namsapoti huyu dada kwa nguvu zote.
Hata kama amemchanyata itakuwa ni kwa makubaliano. Sijawahi kusikia sugu amebaka. Kwa hiyo sioni tatizo hapo. Huyo jafarai anatakiwa ajiulize ni kwa nini ametoswa? Labda ana matatizo....you never know!
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.
Hhahha yani mie nimemdharau kweli kweli halafu muda woote asijiendeleze wala nn anabakia kusema alikuwa apelekwe Marekani haha hahha, Jaffari karibu uswazi baba ulizoea MA VX sasa daladala kwenda mbelee
Kwa mimi ni mara ya kwanza kupost hapa jf. Lakini hata kama, hayo ni maswala ya maisha binafsi ya mtu wao inawahusu nini?
umeona kama ni kweli maana yake wote walikuwa ni wezi tu, hivyo ni dro dro au vipi?Umeona eeeh? Eti analia angekuwa ameoa tungejua moja yeye mwenyewe alikuwa mwizi tu. Eti kumegewa na Sugu kumeuma zaidi angutulia kama angemegewa na mtu amabye si public figure nimemuona yuko lowa sana. Mi namsapoti huyu dada kwa nguvu zote.