Yani Hawa Girona msimu uliopita walikuwa wa moto kweli, lakini msimu huu wanacheza kwa kuviziavizia tu, wanajaa sana kwenye goli lao. Lakini kwakua tumeshawafunga goli moja watajifanya wanapanda kuja kushambulia hapo ndipo tutakapotoa kichapo heavy.
Thanks,. Kwenye Neno uko vizuri sana kwani unauwezo wa kuandika kitu na kukihusianisha na vifungu vya Biblia, Congratulations. Hivi wewe ni Mshirika wa kawaida? Mwalimu? au Mwinjilisti?.
Siwalikuwa wanasema eti Sancho ni mchezaji mzuri, eti kwakuwa anachezea timu mbovu ya Man u ndio mana hafanyi vizuri. Haya sasa Sancho huyo hapo sasaaa!!!???
Hivi Hawa wachezaji wanafanya mazoezi kweli? Je wanalipwa Mshahara? Na je wanafahamu jinsi wanavyocheza?....................?????
Man U ya sasa ikikutana na Timu top 15 inakuwa ni big Matches kwelikweli!!!! Kwanza
1. Wachezaji hawakimbii, nyoronyoro tu.
2. Kona zikipigwa hata thelathini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.