Recent content by gwaitolo

  1. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakenya wanapenda kujilinganisha na Tanzania?

    Kuna vitu ambavyo kenya wanatuzidi japo ni vichache kuliko tunavyowazidi kwa suala la DEMOCRACY wametuacha mbali. Nadhani leo hii state ya TZ ikiachia grips kwenye mwenendo wa SIASA na kuiachia wanasiasa tutachupa na wataisoma namba. Mimi naomba viongozi wangu waache kuhusisha kila kitu na...
  2. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Mwakasege: Mtu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu, lazima ujue namna ya kuipata haki yako

    Hi watu hamchoki kuunganisha DOT. tatizo manataka kila mtu asungumze manachotaka kukisikia. Balaa hili mpaka lini hamnatofauti na waliosemwa Isa 30: 9-10 "9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya Bwana; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na...
  3. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Matunda haya yanaitwaje kwa lugha ya kiswahili na kikwenu?

    mandongomilo
  4. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Waiting, nasubiri
  5. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mimi Lowasa YESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS. Anachafuliwa huenda ni kwa sababu ambazo hatuzijui
  6. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutoingia bungeni-siri yafichuka

    Madaraka mazuri. Wanaogopa kutupwa nje na kufa kifo cha mende, miguu juu. Tatizo ninaloona mie ni pale chama tawala kinatafuta sababu za kitoto kuwalaghai wananchi. Hi shule wamesoma kweli. Walianza na udini, wakaja na ukanda sasa "wanapoke". Mwisho wa longolongo umewadia
  7. gwaitolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

    Ni kweli
  8. gwaitolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

    Kazi kweli kweli
  9. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Sitta kuiundia zengwe UKAWA

    Nijulishe zaidi
  10. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Mimi sielewi kabisa Hivi alichosema JU kibaya ni kipi. Hawa watu wanaojidai hawaoni na hawaelewi kwamba TZ kuna shida/gap kubwa katika mtazamo sahihi wa uongozi huenda wana matatizo ambayo bado wanaisaikologia, waganga au watafiki katika maeneo hayo hawajagundua bado. Hi kweli unahitaji kwenda...
  11. gwaitolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakwe wana matatizo gani

    Wanajamvi Habari za kazi Nina swali labda wadada/wamama watatusaidia. Hivi ni kwa nini msichana kabla ya kuolewa anapendana na wakweze to be na ndugu wengine wa upande wa mwanaume lakini mara aingiapo ndani kwanza wadada wanaanza kujihami, na sehemu kubwa ya wadada na wakwe wa kike/wifi zao...
  12. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Warioba ajipanga kujibu Mapigo ya Rais Kikwete

    Pole mzee Warioba
  13. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

    tumwombee mleta uzi ili macho yake yafunguke. Homosexual ni machukizo so ni zaidi sana ya dhambi ya kawaida. Nadhani mleta maada ana lake jambo
  14. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    Karogwa, Tumtafute Modekai na Esta ili waingie ''patakatifu pa CCM' na kufanya mapinduzi kaika fikra zao. Utando wa madaraka umewafunika macho na masikio. Waombeeni hawajitambui
  15. gwaitolo

    JamiiForums Tanzania CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

    Mimi binafsi nafikiri kambi ndani ya Maccm ina afadhari sana kuliko ile ya vijisent. Sittanamkubali
Back
Top Bottom