Unajua historia ya ccm kuanzia TAA ilifanya mabadiliko mangapi hadi sasa? Mbona hata kama umesoma shule ya kata, hata macho huna? Kila kukicha serikali inatangaza mabadiliko. Kila leo ccm inatangaza mabadililko. Ni taasisi gani unayoijua isiyofanya mabadiliko?
Mabadiliko kama lengo lake ni kuboresha mifumo yanaubaya gani?
Kwa nini leo kikwete aliamua kuanzisha mchakato wa katiba mpya? Kwa nini katiba ibadilishwe?
Katiba iliyopo imefanyiwa mabadiliko kibao hadi imejaa viraka. Unadhani mabadiliko hayo yalifanyika kwa sababu walioona haja hiyo ni wajinga kuliko wewe?
Bunge hata sasa, linabadilisha kanuni kila kukicha, kwa mtazamo wako, huoni mantiki?
Sera za taifa na vipaumbele vinafanyiwa mabadiliko mara kwa mara na mipango ya maendeleo ya muda mrefu na muda mfupi inarekebishwa wewe kwa akili yako huoni hilo?
ccm imebadilisha kanuni zake mara ngapi? kushika hatamu, kujikosoa, kukorimba, kubambikiza, kujisafisha, ku Limboka, vifungo vya akina bibi titi, mohamed babu, vizuizi vya akina maalimu sharif hamad, kuua na kuchinja wapinzani, yote haya ni mabadiliko ya mikakati. Haijalishi walikuomba ruhusa wewe ama walikupa taaarifa. Haijalishi kama yanaathari chanya kwa kila mtu ama la. Lakini siku zote mabadiliko yapo.
Kwa nini hutaki CHADEMA wafanye mabadiliko? Unataka watu wote wawe na akili mgando kama wewe? Kwamba ukisikia kijiweni mwehu anasema chadema kila siku wanabadilisha mambo, unakariri na kupata hoja ya kutembelea? Angalau basi upelek vijiweni hoja hizo siyo hapa.
Unaelewa madhumuni ya kuwa na monitoring and evaluation entities kwenye programs?
Monitoring ina umuhimu gani kama kufanya marekebisho katika safari ni uovu?
Ukikaa kimya, hata kama ni m'p'mbavu------, utaonekana una hekima!. Ni afadhali kunyamaza kuliko kujidhalilisha kwako unakojianika hadharani. Wewe ulishahudhuria vikao vya CHADEMA ukaona unaburuzwa? Una ushauri gani wewe mbadala wenye tija na hadhi kuliko CHADEMA?
Kama umeshindwa hata kuona maana ya kuwa na katiba ya wananchi, ninachelea kusema, hufai kwa mijadala ya maendeleo ya taifa. Nyamaza ujifunze, au usubiri kufa, lakini huwezi kujiweka kuwa kigezo wote wakufuate wakati huna unalojua na una akili mgando na uelewa wa jalalani kuliko msukule.

Mi nalipwa na nani! tatizo lenu mnaburuzwa na Mbowe na mawazo ya wake zake. We kiongozi gani kila akiamka asubuhi anafanya amendment za kanuni za chama bila mkutano wowote! mara anabadili baraza kivuli! mara anashirikiana na huyu, mara yule simtaki! Vikao hivyo vya yeye kulala na kuota na hatimaye asubuhi (baada ya kushauriwa na madem wake) anakurupuka na kutoa maamuzi!