Recent content by gwagwaje

  1. G

    VIDEO: Islamil Jussa, Abubakar Bakar wamjibu Prof. Kabudi kuhusu mamlaka za kisheria kwa JMT na Zanzibar

    Hii zanzibar inawashughulisha sana wanasiasa wetu,si wachukue visiwa vyao wakae pembeni waendelee na yao.mi sielewi kabsaa haja ya kusumbuana kila siku ya nin?
  2. G

    Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    Kwahiyo hata zile mabibo hostel zina crack kama hizo na sasa zimeshaseto?[emoji848]TBA&TEMESA[emoji119]
  3. G

    Msaada: Nimetengwa kijamii

    We piga goli za kutosha,hakuna cha nuksi wala mtimanyongo.Mungu ndo muamuzi wa mwisho kabisa.kamua bob
  4. G

    Msaada: Nimetengwa kijamii

    Ongeza speed,kwani unaogopa nin
  5. G

    Msaada: Nimetengwa kijamii

    Kama hela unayo hakuna tatizo mkuu.kufa kila mtu atakufa,hata huyo adui yako pia atakufa siku yake[emoji3]
  6. G

    Deni la ACACIA: Mdau mmoja wa kigeni kanena haya mtandaoni

    Well,si waiache hii migodi waende zaoo!kwanza miaka yote hiyoo wamewahi kudeclare profit?ni hasara tuu au sio?sasa biashara inakupa hasara tuu unaing'ang'ania ya nin?
  7. G

    CNN: Makampuni 5 ya uchimbaji dhahabu hayajawahi kulipa kodi ya dola bilioni 40 tangu 2000

    Hizi kelele nyingi ni zaniniii?si waiache hii migodi isiyo na faida waende zao?kama unatozwa kodi isiyo stahiki na mmeshindwa kufikia muafaka si ufunge iyo biashara,maana ata usipofunga kodi itakufilisi sivyo??
  8. G

    Flyover na Fedha za World Bank: Kipigo kingine kwa Tanzania

    Ni kweli hela itaenda nje na walipaji ni sisi.swali la msingi ni "kweli hawa wasanifu wetu na wakandarasi wanao uwezo wa kufanya hiyo kazi?techologically,financial capital,e.t.c??" Tunaziona kazi za local contractors hasa kwenye barabara,nyingi hazina viwango kabisa!!tatizo ni hela wanayolipwa...
  9. G

    Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

    [emoji23][emoji23]ni wachawi tuu,hakuna cha mitambo wala nin
  10. G

    Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha

    Acheni uchawi,mungu anawaona
  11. G

    Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?

    Mkuu vipi?umeshtushwa na "wanacheza na maisha yao",lakini na wao wanacheza na yetu ujue
  12. G

    Hawa ndio wafanyabiashara wakubwa wa sukari nchini

    Hii nchi hii.kweli nimeamini binadami hata umfanyie nini hawezi kuridhika,lazma atafute cha kulalamikia[emoji124][emoji124][emoji41]
  13. G

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Kwaiyo na wafanyakazi wa TRA wasilipe kodi eeeh??
  14. G

    Donald Trump stunning truly and fact speeches

    Ila jamaa anaongea ukweli flani ivi.waafrica tuna matatizo sana.hapa Mtwara wakati wazungu wanarun mitambo ya gesi inayozalisha umeme wa Mtwara na Lindi,umeme ulikua ukikatika dakika kumi nyingi umesharud.toka mitambo waanze kurun tanesco ni shida,mnaweza kulala au kushinda siku nzima bila...
Back
Top Bottom