Deni la ACACIA: Mdau mmoja wa kigeni kanena haya mtandaoni

Huyo bwana mkubwa anafikiri hiyo pesa tunayowadai hao wazungu wenzie ni pesa ya mwaka mmoja!?ni mrundikano wa pesa kutoka na vitu kadhaa kama kodi,mrahaba na vinginevyo. Kama wenzake hao wangekuwa wanalipa inavyostahili kwa wakati stahiki wala isingekuwa pesa yoote hiyo. Walipe tu!!!
Tulikuwa wapi kuwadai hadi ikafikia hvyo? Nijibu tafadhari ila sihitaji mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye makinikia hawana harakka ya mazungumzo; TRA wamepeleka tax invoice ya 427 trillions ( zaidi bajeti ya Tanzania kwa miaka hiyo 17; probably 50 times ACACIA investment).

I concur, Ni lazima tuanze kuangalia uwezekano wa kuwekeza kwenye sayari nyingine au tupate wawekezaji toka kwenye sayari nyingine, kama watalipa hiyo 427 Ts. Yaani, someone is in dream land dreaming of waking up reach when acacia finally goes; na kuna vilaza wanaamini hii akili inayoshadidia makinikia kuliko hata dhahabu dhahabu yenyewe!
Jamani tuwe waangalifu na lugha ya kiingereza yaani reach badala ya rich!!!!
 
Well,si waiache hii migodi waende zaoo!kwanza miaka yote hiyoo wamewahi kudeclare profit?ni hasara tuu au sio?sasa biashara inakupa hasara tuu unaing'ang'ania ya nin?
 
Acacia sio wezi, madini na mchanga walipewa Bure tena sio kwa kificho. Sera na sheria zote za madini zilizowapa umiliki wa hayo madini na mchanga tumezitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu ambao tuliwachagua kwa nderemo na vifijo. Watu wana mikataba yao kwenye mabrifkesi siku wakiitoa ili ewe jino kwa jino tutatafutana kwa kurunzi.

Sisi wezi wetu sio acacia wala barrick, wezi wetu ni wale tuliowaamini tukawapa dhamana ya kuwa walinzi na wasimamizi wa rasilimali zetu. Mimi na wewe tunawajua tena kwa mjina (kuwataja siwezi, naogopa kupimwa mkojo). Tatizo vichwani tumejaza mihemuko na mapenzi ya vyama na wakati mwingine maslahi binafsi ndo maana hatuoni hata vile vilivyo wazi na ukweli tunauogopa.

Hivi kweli kwa akili ya kawaida awamu zote 4 zizolipita hazikuuona wizi wa barrick/acacia? Mbona watu wanaotumbia tunaibiwa wamekuwa maofisa waandamizi na mawiziri wa serikali karibia zote 4 zilipita? Mimi sioni nuru mbeleni katika hili swala la acacia, naona watu/mtu binafsi akijitafutia utukufu binafsi kwa kutufanyia bongo movie huku akiwachafua zaidi wezi wenzake wakati huo huo akitoa ahadi ya kuwalinda hata kwa gharama ya Uhai wake.

Hii kitu ni made in Tanganyika eti.
Kama unakiri kuwa wezi wapo,mbona rais akiwashughulikia unaanza kupinga? Unapinga kwa nia gani? Tulia rais anyooshe nchi bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivyokuwa wanaiba na kukwepa kodi walikuwa wanategemea nini, TRA kazeni huko
 
Naona mzungu unaweza kumpa hata tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wako wa chama aliwaita 'wanaume', mkamshangilia, leo anawananga bado mpo nyuma yake, hamjistukii?? Mwenge huu unaozungushwa nchi nzima nimegundua sio mwenge, ni kiumbe kabisa kavaa sura ya mwenge amepewa kazi maalum kabisa TZ kuhakikisha hatutoki!!
 
Kaandika:

Doing business in Tanzania-Going to the moon is cheaper.

Akaongeza:

That US $190 billions is 10 times the budget for NASA.

Akamalizia:

May be the Goverment of Tanzania is planning space programme with Acacia billions.

Naona hata CNN nao wameripoti hii habari.

My take:
Hii inaweza kutuathiri sana katika uwekezaji.

View attachment 550746

===========

Things are going from bad to worse for Acacia Mining (LON:ACA), one of the largest gold producers in Africa, as the government of Tanzania sent the company a $190-billion bill in fines and allegedly unpaid taxes from two of its mines.

Together with disputing the astronomic bill, the company — Tanzania's No.1 gold producer — said it’s evaluating all of its options and rights, adding it will provide a further update in due course.

Shares collapsed once again on the news to close almost 21% lower in London at 184.5p, dragging the company's market value to less than $984 million, according to Google Finance. The stock has lost 66% of its value since March, when President John Magufuli’s ban on concentrates exports came into effect, affecting two of Acacia’s three mines or about a third of the firm’s output.

Acacia, which spun off from Barrick Gold in 2010, but it’s still majority-owned by the gold giant, first locked horns with the government of Tanzania last year, as it was accused of tax evasion in the ongoing case that triggered today’s multi-billion bill. The dispute escalated in March, when the concentrates ban officially began.

Less than four months later, Tanzania accused the company of operating illegally and said it had found evidence of the alleged tax evasion as a presidential team found the value of minerals within raw concentrate at the port of Dar es Salaam was 10 times higher than Acacia’s declared amount.

The escalating conflict pushed Barrick to intervene and Acacia to file arbitration notices for its Bulyanhulu and Buzwagi mines in order to protect its shareholders and the company, aiming to reach a settlement.

In mid-July, the miner agreed to pay higher taxes in the country and it’s now paying a 6% royalty, up from 4%, on metallic minerals including gold, copper and silver. The company also said it would continue to pay the recently imposed 1% clearing fee on exports

View attachment 550749
The firm disclosed last week that members of its staff had been arrested and questioned, but denied early reports claiming that Tanzania had asked its foreign workers to leave the country.

World’s largest gold producer Barrick, which has a 64% stake in Acacia, is currently in talks with authorities in hopes of reaching a agreement over the claims against its subsidiary and the country’s current ban on mineral concentrate exports.

Its shares were also hit by today’s news, falling more than 2.3% by noon in Toronto to Cdn$19.82 and almost 2.7% in New York to $15.76 by 12:21 pm.

Acacia Mining, which owns and operates Tanzania’s three major mines, is also facing a lawsuit in the UK from relatives of miners who died at North Mara. Law firm Deighton Pierce Glynn is acting on 10 cases, most of which relate to incidents since 2013, and one as recently as last year.

According to Tanzania’s official data, 65 civilians have been killed by police at North Mara for trespassing since 2006 and another 270 have been injured

Source: Mining.com
Hata sisi tunao hao akina John kibao Tanzania. Sasa kuna ubaya gani Tanzania tukawa na NASA yetu? Hawa wana wivu sana ndio maana wanapiga kelele Korea kurusha makombora wanataka wao tu ndio wawe na uwezo. Hata hivyo wenzetu Kenya wanayo NASA yao na RAO ndiyo rais
 
M
Wenye makinikia hawana harakka ya mazungumzo; TRA wamepeleka tax invoice ya 427 trillions ( zaidi bajeti ya Tanzania kwa miaka hiyo 17; probably 50 times ACACIA investment).

I concur, Ni lazima tuanze kuangalia uwezekano wa kuwekeza kwenye sayari nyingine au tupate wawekezaji toka kwenye sayari nyingine, kama watalipa hiyo 427 Ts. Yaani, someone is in dream land dreaming of waking up reach when acacia finally goes; na kuna vilaza wanaamini hii akili inayoshadidia makinikia kuliko hata dhahabu dhahabu yenyewe!
Msengapavi sahihisha hiyo lugha hususani neno reach inatia aibu na hasa unapowaita wengine vilaza
 
Tulikuwa wapi kuwadai hadi ikafikia hvyo? Nijibu tafadhari ila sihitaji mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeanza kwa kukufurahi kukuonyesha kwamba sina haja ya kukutolea povu mkuu. Na ntajibu swali lako kwa swali, ikiwa umegundua kuna mahala ulikosea na wakati huohuo unao uwezo wa kuyakosoa makosa hayo,je utaacha makosa yako yaendelee kukugharimu kwa kigezo kuwa ulikuwa wapi wakati unayatenda!?
Naamini wewe si mtu wa mapovu pia.
 
Kaandika:

Doing business in Tanzania-Going to the moon is cheaper.

Akaongeza:

That US $190 billions is 10 times the budget for NASA.

Akamalizia:

May be the Goverment of Tanzania is planning space programme with Acacia billions.

Naona hata CNN nao wameripoti hii habari.

My take:
Hii inaweza kutuathiri sana katika uwekezaji.

View attachment 550746

===========

Things are going from bad to worse for Acacia Mining (LON:ACA), one of the largest gold producers in Africa, as the government of Tanzania sent the company a $190-billion bill in fines and allegedly unpaid taxes from two of its mines.

Together with disputing the astronomic bill, the company — Tanzania's No.1 gold producer — said it’s evaluating all of its options and rights, adding it will provide a further update in due course.

Shares collapsed once again on the news to close almost 21% lower in London at 184.5p, dragging the company's market value to less than $984 million, according to Google Finance. The stock has lost 66% of its value since March, when President John Magufuli’s ban on concentrates exports came into effect, affecting two of Acacia’s three mines or about a third of the firm’s output.

Acacia, which spun off from Barrick Gold in 2010, but it’s still majority-owned by the gold giant, first locked horns with the government of Tanzania last year, as it was accused of tax evasion in the ongoing case that triggered today’s multi-billion bill. The dispute escalated in March, when the concentrates ban officially began.

Less than four months later, Tanzania accused the company of operating illegally and said it had found evidence of the alleged tax evasion as a presidential team found the value of minerals within raw concentrate at the port of Dar es Salaam was 10 times higher than Acacia’s declared amount.

The escalating conflict pushed Barrick to intervene and Acacia to file arbitration notices for its Bulyanhulu and Buzwagi mines in order to protect its shareholders and the company, aiming to reach a settlement.

In mid-July, the miner agreed to pay higher taxes in the country and it’s now paying a 6% royalty, up from 4%, on metallic minerals including gold, copper and silver. The company also said it would continue to pay the recently imposed 1% clearing fee on exports

View attachment 550749
The firm disclosed last week that members of its staff had been arrested and questioned, but denied early reports claiming that Tanzania had asked its foreign workers to leave the country.

World’s largest gold producer Barrick, which has a 64% stake in Acacia, is currently in talks with authorities in hopes of reaching a agreement over the claims against its subsidiary and the country’s current ban on mineral concentrate exports.

Its shares were also hit by today’s news, falling more than 2.3% by noon in Toronto to Cdn$19.82 and almost 2.7% in New York to $15.76 by 12:21 pm.

Acacia Mining, which owns and operates Tanzania’s three major mines, is also facing a lawsuit in the UK from relatives of miners who died at North Mara. Law firm Deighton Pierce Glynn is acting on 10 cases, most of which relate to incidents since 2013, and one as recently as last year.

According to Tanzania’s official data, 65 civilians have been killed by police at North Mara for trespassing since 2006 and another 270 have been injured

Source: Mining.com
Wewe jamaa nakushauri nenda acacia wakuajiri

Watu kama nyie ni wa kupiga shaba
 
Neocolonism haifanyiki kwa mtutu wa bunduki. Kasome namna inavyofanyika.

Yuko nje ya cello kwa masharti magumu ya kumnyoosha na ubunge alishasimamishwa for one year na spika wa JMT hadi pale atakaponyooka. Hapati tena yale mamillion ya posho za ubunge eg fuel allowance, motor vehicle maintanance allowance, sitting allowance ya vikao vya bunge, perdiem allowance ya vikao vya bunge na kamati za bunge, posho za ziara ndani na nje ya nchi, fedha za jimbo na kadhalika. Masikini kabakiza kamshahara kake tu ambako kakipigwa PAYEE na kodi zingine zinabaki 2 m tu kwa mwezi sawa na wewe na mimi! Ndiyo maumivu ya kunyooshwa!
Usitutoe kwenye mada, cheeky monkey!!
 
Isitoshe hzo pesa za kwendea mwezini wanazipata kwa kutupora rasilimali zetu ktk mataifa yanayoendelea. Bora akae kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndg, umeongea intelligently, nimependa hii kwa sababu naona watu tunaanza kujitambua. ukweli ni kwamba, serikali za kinyonyaji za mangaribi na mashariki kama china na india, hupata pesa za kuendeleza nchi zao kwa kuzipa ruzuku kampuni za kijambazi za huko kwao, maana ndizo zinazokuja kuiba Afrika na kuendeleza nchi zao kwa kujenga viwanda ambavyo hulipa kodi na kuajiri raia wao.

Wanaweza kudeclare war kwa nchi ambazo zinaziwekea ngumu haya makampuni ya kijambazi wa kiulimwengu yaani global criminal enterprisers.

Hivyo lazima tusimame kwa umoja kulinda utu na urithi wetu. SHALOM AFRIKA
 
Anayoyafanya Rais si kwa faida yake yy na familia yake, bali ni kwa faida ya watanzania wote, tumuunge mkono na tuache ku comment ujinga. Anayo fanya Tundu lissu ni sahihi ?
Hivi kweli kutowakamata wa awamu ya tatu na ya nne na washirika wao waliotufikisha hapa ni kwa faida ya watanzania wote?
 
Back
Top Bottom