Hii ni taarifa kwa mujibu wa CNN.
Wanasema hiyo kodi halisi ya dola bilioni 40 tangu mwaka 2000(ukiacha faini na riba ya dola bilioni 150) hata makampuni makubwa matano yanayoongoza kwa uchimbaji wa dhahabu duniani kwa ujumla hayajalipa kodi ya kiwango hicho na kwamba hicho kiasi cha dola bilioni 40 kama kodi ni mara mbili ya kiasi cha kodi ambacho makampuni hayo yamelipa kwa ujumla tangu mwaka 2000.
Clip husika ya CNN kuhusu hii habari inapatikana kwa yule dada alieko US.
My take:
Hili jambo mbona linashangaza sana?!
Ukweli ni upi hasa?
Ngoja tujaribu hesabu rahisi:
US $ 40B gawanya kwa kampuni 5 = na US$ 8Bb
US$ 8B gawanya kwa miaka 17 = US$ 470,588,235.3
Hata haya makampuni watakuwa wezi huko wanakofanya biashara.