Recent content by Guus

  1. Guus

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

    Watu wa Dar mshazoea maisha ya nyumba zisizo na mpangilio, sasa mambo ya vibali vya ujenzi navyo hamyataki!!:D
  2. Guus

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Dodoma, tumejenga kiwanda kikubwa cha ITRACOM chenye uwezo wa kuzalisha tani 1,000,000 za mbolea kwa mwaka

    Ngoja kwanza, kumbe hizi kauli za tumejenga huwa zinakuwa hadi kwenye viwanda binafsi!! Mdogo wangu kaamia kwenye nyumba yake, tunaishukuru Serikali kwa kujenga nyumba ya bwana mdogo
  3. Guus

    JamiiForums Tanzania Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

    Kuna nyumba hapa jirani, milangoni na madirishani kuna mavyuma tu. Matofali yako uchii (haijapigwa plaster). Ukiangalia kibaraza kina zege tu (dalili ya kuwa ndani kuko na zege pia). Kila nipitapo jioni ama usiku nikirudi home nakuta nje imepaki Klugger namba E. Huwa nacheka tu! Moyoni najisema...
  4. Guus

    JamiiForums Tanzania Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2025/26

    1. Arsenal 2. Manchester City 3. Liverpool 4. Chelsea
  5. Guus

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    Yanga wameact unprofessional ama kashindwa kukubali kuwa mchezaji wake anamdharau? Yaani wakala yupo na bado mchezaji anaamua kumalizana na mwajiri yeye mwenyewe!!!
  6. Guus

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania hawapendi kukaa kwenye gated communities , kila mtu anataka nyumba yake iwe na fensi

    Manispaa wametangaza wanauza viwanja, vipo kwenye mablock makuuubwa, hata halijulikani mwanzo ni wapi na mwisho ni wapi. Hizo fence mnaziwekaje buda!!
  7. Guus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Tuanze kwanza na kula denda, kupiga deki, nk. Tamaduni zenu zimekaaje?
  8. Guus

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Hili neno "Makato" halifai kabisa kulisoma kwa harakaharaka
  9. Guus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna Scam kubwa hii dunia kama kuoa Mwanamke eti kisa kasoma chuo au ameajiriwa ili msaidiane majukumu ya ndani na mfanye maendeleo

    Scam kubwa ni single mom mwenye kazi...aliyemkimbia sio mjinga, kimbia!
  10. Guus

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture aina zote. Tupe oda boss tukutengenzee,,

    Hiyo round ya juu inatakiwa iwe inarotate! Kazi inafanyika?
  11. Guus

    JamiiForums Tanzania Huwezi ijua thamani ya mtu hadi ukishampoteza ajuta Shakira kumpoteza mme wake

    Sources za hizi translation ziko wapi?
  12. Guus

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue gari nzuri za abiria na zenye huduma bora 2025. Nipe taarifa za basi kali kutoka mkoa hadi mkoa tafadhali

    Nilishasave hizi contacts za simu kwa jinsi ulivyoisifia. Kilichoharibu ni baada ya kuingia kwenye page yao ya Instagram, mashambulizi niliyoyakuta huko kuhusu huduma zao nimejikuta nadelete hizi contacts. One thing nilishalearn maishani baada ya kukutana na msala mmoja hivi, kwamba kabla ya...
  13. Guus

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue gari nzuri za abiria na zenye huduma bora 2025. Nipe taarifa za basi kali kutoka mkoa hadi mkoa tafadhali

    Shida ni Customer care tu! That's why watu kama Kimbinyiko pamoja na kuwa na buses za kawaida wanaonekana wa maana
  14. Guus

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Siku moja mwanangu karudi na picha aliyoichora kutoka ubaoni kama sehemu ya h/w. Picha ni Paka mulemule but yeye akaandika Mbwa. Nikawaangalia na kaka yake (wanasoma shule moja) wanavyobishana na mimi nikawa nasisitiza ni Paka. Usiku wamelala, Kaka yake kwa huruma ya fimbo kwa mdogo wake akafuta...
Back
Top Bottom