Recent content by Guturo

  1. G

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD ndani ya Dodoma - Jan 27, 2014

    Ewaaaa! Ndo muda mwafaka wa kuwazindua wana idodomia! Toa muda tafadhal
  2. G

    JamiiForums Tanzania Familia nane zafungsha virago na kuhamia chadema no:9 leo.

    Hv ni kweli haya yanatokea Tanzania? Mbona hatuna tofauti na somalia ama kwl tuna mizigo ya kutua 2015.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Manji, Mzee Akilimali washambuliana kwa 3-1

    Cha pombe puuuuuu!
  4. G

    JamiiForums Tanzania SWALI; Kwanini Mashabiki wa Yanga wanapenda sana KUZIMIA uwanjani???

    Wanasajili mamluki wa simba wanategemea nn? Hebu muone kaseja, kelvn, Bartez, Dida, chuji na Okwi wataendelea kuzimia hadi kuzimu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu SHAMSI NAHODHA nini Kimekuponza?

    Duh! Nahodha amemtangulia Kawambwa? Amemtangulia Mulugo? Kimtazamo nahodha anajitahidi ila kuna kitu kinaitwa "political accountability and collective responsibility" ni muhimu avizingatie
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hatua saba muhimu za uponyaji wa CHADEMA!

    Mungu baba muweza wa yote hebu wafunulie hawa wana wako walau waweze kung'amua hiki kilichofafanuliwa na huyu ndugu. Personally naikubali makala hii.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kinana na maneno ya ghiriba kwa watu wa Tarime

    TARIME "Hakatwi mtu hapa" ushauri wa bure kama jimbo lenu limetelekezwa, leta chama mbadala uone watu wanavyokuna kichwa kukomboa jimbo.Tarime ni kisiki cha mbingo.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watuliza mzuka wa wananchi kuhusu kero za mgodi-North Mara

    Jaman naomba kujua kama mtoa mada anaijua Nyamogo vizuri,unaelewa maana ya kusema wawe na kikao cha ndani(wapate sehemu ya kupokelea fungu la kumi) ndugu kumbuka Tarime wana uelewa sana ndo maana pamoja na kuathirika tindikali ila ndo mgodi mgumu wa kuendeshwa na wazungu.ukiingia Tarime...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    Mmmmh! Kupata hoja madhubuti hapa kazi kwelikweli,Tanzania ya kweli sasa ni sawa na kutafuta paka mweusi gizani.Bora akapatikana dikteta mmoja akatufunza adabu kidogo.
  10. G

    JamiiForums Tanzania WATOTO WANGU ni VILAZA KWELI wa darasani:kwani mtihani nimefanya mimi

    Duh wadau kwa hili ni vema ukazingatia uwezo wa wajomba nao pia.Ina maana ni vema kabla ya kuoa ukawajua wanafamilia, maana kuna koo zingine ni zero brain hata wa dawa hamna mpaka wanawake huanza kuiba nje.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kauli dhaifu Zinazo waumiza vijana wengi ktk mapenz..!!!!?

    Hakatwi mtu hapa! Mapenzi bila uongo utaishia kuwaita shem!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

    Wadau hiyo inaitwa Better Resign Now!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mawaziri, wabunge na Polisi wadaiwa kujihusisha na biashara haramu ya NGONO

    Haya! kama kweli waliamua kufunguka aibu mjengoni.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Salaam wandugu?

    Je, mnasalimika? Mi napita tu .... nitarejea baadaye.
Back
Top Bottom