SWALI; Kwanini Mashabiki wa Yanga wanapenda sana KUZIMIA uwanjani???

Yani Yanga kupigwa dole 3 tu mnazimia je kama ingekuwa dole 10 si ndio msingeamka kabisa
 
Acha unafki, nani kazimia??

ImageUploadedByJamiiForums1387716836.927906.jpg
 
Shabiki namba moja wa yanga anajulikana kwa kuanguka majukwaani ..sasa hawa si wanamuiga mkuu wao
 
Siku hizi kufanya vituko Uwanja wa Taifa ni dili. Kesho yake utatafutwa kwa udi na uvumba na vyombo vya habari. Yaani utakuwa celebrity overnight. Mnamkumbuka yule jamaa aliyelia Yanga ilipofungwa 5-0?
 
Simba inaongoza kutwaa vikombe vya bonanza. Huo ndio ukweli. Hivi ni timu gani inaongoza kutwa ubingwa wa Tanganyika/Tanzania?
Kwahiyo yanga walikuwa wajinga wanahamasishana kuokota vizibo vya kili lager ili kutuma kwenye mabaa SMS za mtan jembe.........inaumaah dogo hapo ulipo hata mipango yako ya sikukuu imedoda..........manji kakimbaia uwanani.....mzee akilimali analia redioni.ha hah a haha hii ndio simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! chapa ilale!!!!!!!!!!!!
 
Unashangilia kombe la bonanza??! Ptuuuuu
Kwahiyo yanga walikuwa wajinga wanahamasishana kuokota vizibo vya kili lager ili kutuma kwenye mabaa SMS za mtan jembe.........inaumaah dogo hapo ulipo hata mipango yako ya sikukuu imedoda..........manji kakimbaia uwanani.....mzee akilimali analia redioni.ha hah a haha hii ndio simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! chapa ilale!!!!!!!!!!!! kwenye gazeti la mwanapoti ngasa analia..............kama huchukii mbona hununui magazeti.
 
Mihela ndo mpango mzima
 
Wanasajili mamluki wa simba wanategemea nn? Hebu muone kaseja, kelvn, Bartez, Dida, chuji na Okwi wataendelea kuzimia hadi kuzimu.
 
Simba inaongoza kutwaa vikombe vya bonanza. Huo ndio ukweli. Hivi ni timu gani inaongoza kutwa ubingwa wa Tanganyika/Tanzania?
hata jana walitwaa cha kushangaza wamefukuza benchi la ufundi kwa bonanza tu.simba bana wanashangaza sana.
 
Back
Top Bottom