Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,931
Udhaifu ktk nini?
Hivi kua na hulka ya uadilifu,upole,ndio udhaifu?
Dhaifu katika utendaji mimi nipo wizara ya ulinzi namfahamu fika. Naona ww unaleta uzanzibar
Udhaifu ktk nini?
Hivi kua na hulka ya uadilifu,upole,ndio udhaifu?
Nafahamu utendaji kazi wako usio tia shaka"
1.Mwaka 2000-2010 umewatumikia Wazanzibar ktk Nafasi ya Waziri Kiongozi kwa miaka 10,sikuona kosa lako.
2.Mwaka 2010-hadi May 2012 umewatumikia Watanzania ktk Wizara ya mambo ya ndani, sikuona kosa lako.ulikubalika kwa utendaji na kila muhusika ktk wizara hiyo aliona umuhimu wako,kuanzia askari wa vyeo vya chini hadi wale wa juu wapenda haki.
Hata wafungwa na mahabusu magerezani walikukubali sana ufuatiliaji wako ulipokua waziri. Sikuona kosa lako.
3.Mwaka 2012 hadi jana Dec 2013 umewatumikia Watanzania ktk wizara nyeti ya ULINZI, sijaona kosa lako.
Umejitahidi kusimamia wizara hii kiutendaji,jeshi letu limezidi kuimarika,askari wanapata stahili zao,hakuna malalamiko tunayoyasikia kuhusu utendaji wako ndani ya jeshi na wizara ya ulinzi kiujumla.
Binafsi sijaona kosa lako.
4.Nafasi ulizowahi kushika ni nyeti sana ktk Taifa hili zote umezimudu vyema kulingana weledi wako ktk siasa. Sijaona kosa lako.
Hoja yangu vipi usombwe na fagio hili TOKOMEZA UJANGILI wewe kama waziri wa ulinzi?
Nimesoma repoti yote ya kamati ya bunge sikuona ambapo unapaswa kuwajibika ama kuajibishwa kama waziri wa ulinzi.
Kama kusombwa kwako kunatokana na ushiriki wa JWTZ ktk operation hiyo,mbona sijaona kipengele ambacho askari wa Jwtz wamehusishwa ktk unyama unaodaiwa kufanywa na washiriki wa operation hiyo?
Kamati ya bunge wamewapa sifa jwtz kwa kua mahiri na kuendesha operation ktk hali ya umakini.
Vipi uwajibishwe kama waziri. SIJAONA KOSA LAKO.
My take- Wadau najua ktk msafara wa mamba na Kenge pia wamo lakini ktk hili ndugu yangu Nahodha hakustahili kuajibishwa.
Itakua una funza kichwani.
Kwenye ripoti ya Kamati hujaona basi hata picha za JWTZ likiwanyanyasa watu, kuwaumiza na kulawiti na kuwachoma watu misumari hujaziona??? pole sn mwache kafaie mbele ndo amekwisha tena kisiasa mana yeye na Dr Shein haziend sana alikuwa mpinzan wake Dodoma., alafu ni kibaraka wa Tanganyika hataki wazanzibar wawe na mamlaka yao
Sema ukweli ndugu!
Kama uko wizarani weka japo mambo mawili ambayo unaona Nahodha aliyaendesha sivyo.
Ndugu yangu mengi yapo nyuma ya pazia kuhusu hii operation Tokomeza. Usishangae kwamba sehemu fulani watu fulani wameigiza ili kuipa dosari operation.
we inaonekana umesahau,wakati mauaji yanatokea huko pemba nani alikua waziri kiongozi zanzibar?ktk operesheni tokomeza hivi majuzi umesikia askari watatu wamembaka mama mmoja..watu wamepigwa risasi na kufa,watu wamelazimishwa kufanya mapenzi na wakwe zao,wengine na miti!shame!huyu Nahodha na Nchimbi inatakiwa washtakie haraka na watu wa haki za binadamu.usipende kuleta siasa kwenye maisha ya watu...Nafahamu utendaji kazi wako usio tia shaka"1.Mwaka 2000-2010 umewatumikia Wazanzibar ktk Nafasi ya Waziri Kiongozi kwa miaka 10,sikuona kosa lako.2.Mwaka 2010-hadi May 2012 umewatumikia Watanzania ktk Wizara ya mambo ya ndani, sikuona kosa lako.ulikubalika kwa utendaji na kila muhusika ktk wizara hiyo aliona umuhimu wako,kuanzia askari wa vyeo vya chini hadi wale wa juu wapenda haki.Hata wafungwa na mahabusu magerezani walikukubali sana ufuatiliaji wako ulipokua waziri. Sikuona kosa lako.3.Mwaka 2012 hadi jana Dec 2013 umewatumikia Watanzania ktk wizara nyeti ya ULINZI, sijaona kosa lako.Umejitahidi kusimamia wizara hii kiutendaji,jeshi letu limezidi kuimarika,askari wanapata stahili zao,hakuna malalamiko tunayoyasikia kuhusu utendaji wako ndani ya jeshi na wizara ya ulinzi kiujumla.Binafsi sijaona kosa lako.4.Nafasi ulizowahi kushika ni nyeti sana ktk Taifa hili zote umezimudu vyema kulingana weledi wako ktk siasa. Sijaona kosa lako.Hoja yangu vipi usombwe na fagio hili TOKOMEZA UJANGILI wewe kama waziri wa ulinzi?Nimesoma repoti yote ya kamati ya bunge sikuona ambapo unapaswa kuwajibika ama kuajibishwa kama waziri wa ulinzi.Kama kusombwa kwako kunatokana na ushiriki wa JWTZ ktk operation hiyo,mbona sijaona kipengele ambacho askari wa Jwtz wamehusishwa ktk unyama unaodaiwa kufanywa na washiriki wa operation hiyo?Kamati ya bunge wamewapa sifa jwtz kwa kua mahiri na kuendesha operation ktk hali ya umakini.Vipi uwajibishwe kama waziri. SIJAONA KOSA LAKO.My take- Wadau najua ktk msafara wa mamba na Kenge pia wamo lakini ktk hili ndugu yangu Nahodha hakustahili kuajibishwa.
Inaonyesha umeanza kumjuwa hapo alipohamia Bara, kule Zanzibar alikuwa garasa tu!Nafahamu utendaji kazi wako usio tia shaka"
1.Mwaka 2000-2010 umewatumikia Wazanzibar ktk Nafasi ya Waziri Kiongozi kwa miaka 10,sikuona kosa lako.
Wala mafaniko yake!
2.Mwaka 2010-hadi May 2012 umewatumikia Watanzania ktk Wizara ya mambo ya ndani, sikuona kosa lako.ulikubalika kwa utendaji na kila muhusika ktk wizara hiyo aliona umuhimu wako,kuanzia askari wa vyeo vya chini hadi wale wa juu wapenda haki.
Hata wafungwa na mahabusu magerezani walikukubali sana ufuatiliaji wako ulipokua waziri. Sikuona kosa lako.
Ilikuwa kujitutumuwa ili kuonekana ni "mwenzetu"
3.Mwaka 2012 hadi jana Dec 2013 umewatumikia Watanzania ktk wizara nyeti ya ULINZI, sijaona kosa lako.
Umejitahidi kusimamia wizara hii kiutendaji,jeshi letu limezidi kuimarika,askari wanapata stahili zao,hakuna malalamiko tunayoyasikia kuhusu utendaji wako ndani ya jeshi na wizara ya ulinzi kiujumla.
Binafsi sijaona kosa lako.
4.Nafasi ulizowahi kushika ni nyeti sana ktk Taifa hili zote umezimudu vyema kulingana weledi wako ktk siasa. Sijaona kosa lako.
Hoja yangu vipi usombwe na fagio hili TOKOMEZA UJANGILI wewe kama waziri wa ulinzi?
Nimesoma repoti yote ya kamati ya bunge sikuona ambapo unapaswa kuwajibika ama kuajibishwa kama waziri wa ulinzi.
Kama kusombwa kwako kunatokana na ushiriki wa JWTZ ktk operation hiyo,mbona sijaona kipengele ambacho askari wa Jwtz wamehusishwa ktk unyama unaodaiwa kufanywa na washiriki wa operation hiyo?
Kamati ya bunge wamewapa sifa jwtz kwa kua mahiri na kuendesha operation ktk hali ya umakini.
Vipi uwajibishwe kama waziri. SIJAONA KOSA LAKO.
My take- Wadau najua ktk msafara wa mamba na Kenge pia wamo lakini ktk hili ndugu yangu Nahodha hakustahili kuajibishwa.
Ndugu zangu,
Namheshimu sana Nahodha na najua ana utendaji uliotukuka. Kwa kawaida ya mambo yalivyokwenda kwenye hili sakata, aliyetakiwa kubeba zigo lake ni CDF - Mwamunyange, ambaye alikuwa anapata ripoti za utekelezaji kutoka askari wake wa chini - SIO NAHODHA. Swali la kujiuliza ni je, wabunge wanaogopa kumtaja Mwamunyange? Sikuona hata sehemu ambayo tume ilimhoji huyu bwana. Kwa nini?
Pole sana Nahodha. Time will tell kuwa wewe ni kiongozi safi. Ninachosubiri ni hatua ya JK kwa Mwamunyange.
Nafahamu utendaji kazi wako usio tia shaka"
1.Mwaka 2000-2010 umewatumikia Wazanzibar ktk Nafasi ya Waziri Kiongozi kwa miaka 10,sikuona kosa lako.
2.Mwaka 2010-hadi May 2012 umewatumikia Watanzania ktk Wizara ya mambo ya ndani, sikuona kosa lako.ulikubalika kwa utendaji na kila muhusika ktk wizara hiyo aliona umuhimu wako,kuanzia askari wa vyeo vya chini hadi wale wa juu wapenda haki.
Hata wafungwa na mahabusu magerezani walikukubali sana ufuatiliaji wako ulipokua waziri. Sikuona kosa lako.
3.Mwaka 2012 hadi jana Dec 2013 umewatumikia Watanzania ktk wizara nyeti ya ULINZI, sijaona kosa lako.
Umejitahidi kusimamia wizara hii kiutendaji,jeshi letu limezidi kuimarika,askari wanapata stahili zao,hakuna malalamiko tunayoyasikia kuhusu utendaji wako ndani ya jeshi na wizara ya ulinzi kiujumla.
Binafsi sijaona kosa lako.
4.Nafasi ulizowahi kushika ni nyeti sana ktk Taifa hili zote umezimudu vyema kulingana weledi wako ktk siasa. Sijaona kosa lako.
Hoja yangu vipi usombwe na fagio hili TOKOMEZA UJANGILI wewe kama waziri wa ulinzi?
Nimesoma repoti yote ya kamati ya bunge sikuona ambapo unapaswa kuwajibika ama kuajibishwa kama waziri wa ulinzi.
Kama kusombwa kwako kunatokana na ushiriki wa JWTZ ktk operation hiyo,mbona sijaona kipengele ambacho askari wa Jwtz wamehusishwa ktk unyama unaodaiwa kufanywa na washiriki wa operation hiyo?
Kamati ya bunge wamewapa sifa jwtz kwa kua mahiri na kuendesha operation ktk hali ya umakini.
Vipi uwajibishwe kama waziri. SIJAONA KOSA LAKO.
My take- Wadau najua ktk msafara wa mamba na Kenge pia wamo lakini ktk hili ndugu yangu Nahodha hakustahili kuajibishwa.
Wewe umezaliwa lini?Unayajua mauaji ya Pemba 2001?nani alikua Waziri Kiongozi?kwa hiyo wewe huelewi maana ya uwajibikaji ?sio kila anayejiuzulu amefanya makosa yeye direct ila kama sector unayoongoza imefeli ina maana hausimamii vizuri