Manji, Mzee Akilimali washambuliana kwa 3-1

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,543
2,000
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji amesema kwamba hawakumsajili Juma Kaseja kwa ajili ya kuifunga Simba SC, bali wamemsajili awasaidie kwenye michuano ya Afrika. Manji ameyasema hayo leo asubuhi makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, siku moja baada ya Yanga kufungwa 3-1 na Simba SC katika mechi ya Nani Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Kaseja akiwa langoni. Manji alikuwa akimjibu Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali aliyeushutumu uongozi kusajili Juma Kaseja ni makosa. "Huyu mzee nadhani umri umemzidi, lakini nataka nimkumbushe, huyo Ivo Mapunda aliondoka Yanga akiwa anatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita na uongozi wa wakati huo kwa tuhuma za kufungisha kwenye mechi na Simba SC,".

Source: Bin Zubeiry blog
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,777
2,000
Sarakasi zimeanza Yanga...Tutasikia mengi...manake Kaseja nae anaweza kuwekwa benchi miezi 6 kwa kufungisha--ka IVO
 
ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
1,000
Ole muanze migogoro hapo,mtapigwa hadi na Kariakoo ya Lindi.
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,777
2,000
Breaking Newz!!! Kampuni ya BIA nchini TBL inapenda kuishukuru Timu fulani (jina tunalo) kwa kuweza kununua bia 94,000,000 million tisini na nne na ushee hivi!! Kampuni inaishukuru saaana hiyo timu! Kwani tangu imeanza kuuza bia haijawahi kupata faida kubwa kama hii ndan ya mwezi mmoja! Kwa takwimu za harakaharaka kampuni imepata Tsh 188,000,000,000 (wastani billion 2). Kampuni inaahidi itaendelea kuzidhamini timu zote mbili! Yaani wale ambao wachamungu pamoja na wale walevi ingwa hawajuwi mpira! Kwani hata maandiko yanasema! Yaache Magugu yaote na ngano!!! Bwana alitoa! Na Bwana ametwaa! Jina la................... Imenukuliwa kutoka kwa Meneja Masoko TBL (Bwana Kavishe)
 
Kichapo13

Member
Jan 27, 2013
75
0
Sikufurahishwa na kauli ya Manji kwamba mzee Akilimali anazeheka vibaya. Manji lazima atambue kwamna soka la Simba na Yanga si lelemama. Juma Kaseja pamoja na kwamba ni rafiki wa Manji lakini ana kadi ya Simba, ni mwanachama wa Simna. Kosa la Akilimali liko wapi?
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,133

hiyo kauli itai-cost Yanga labda aombe radhi
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,639
2,000
Sikufurahishwa na kauli ya Manji kwamba mzee Akilimali anazeheka vibaya. Manji lazima atambue kwamna soka la Simba na Yanga si lelemama. Juma Kaseja pamoja na kwamba ni rafiki wa Manji lakini ana kadi ya Simba, ni mwanachama wa Simna. Kosa la Akilimali liko wapi?

Hivi manji ndio kocha wa yanga?waswahili mbona mna maneno maneno?Kosa la manji ni kwamba,hajanunua match kwa vile aliona ni bonanza,sasa ameona muziki wa simba ndo kaahidi hawatarudia tena. Kwa hiyo hata mkitufunga kwenye ligi nitaamini tu ni biashara ambayo manji ameitangaza mpira ulichezwa kwenye bonanza!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kukomya

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
344
195
Breaking Newz!!! Kampuni ya BIA nchini TBL inapenda kuishukuru Timu fulani (jina tunalo) kwa kuweza kununua bia 94,000,000 million tisini na nne na ushee hivi!! Kampuni inaishukuru saaana hiyo timu! Kwani tangu imeanza kuuza bia haijawahi kupata faida kubwa kama hii ndan ya mwezi mmoja! Kwa takwimu za harakaharaka kampuni imepata Tsh 188,000,000,000 (wastani billion 2). Kampuni inaahidi itaendelea kuzidhamini timu zote mbili! Yaani wale ambao wachamungu pamoja na wale walevi ingwa hawajuwi mpira! Kwani hata maandiko yanasema! Yaache Magugu yaote na ngano!!! Bwana alitoa! Na Bwana ametwaa! Jina la................... Imenukuliwa kutoka kwa Meneja Masoko TBL (Bwana Kavishe)

Ha ha ha haaaaaaaa!!!!!
Kumbe lilikuwa shindano baina ya chapombe na watu makini? Ndiyo maana nchi nzima siku ile iliaminishwa na kuimbishwa kwamba walevi wale wangeshinda. Sasa wanashangaa nini wao wameshinda unywaji wa pombe; ni walevi bora kabisa, na wenzao wameshinda heshima na sasa wanaleta za mbichi sizitaki eti .... Oooh, kombe lenyewe la kichina!!!! Walevi Bwana? Ndiyo zao hizo!
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
33,043
2,000
:A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::sleepy:
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,337
2,000
Namkubali sana manji ni Mwenyekiti bora kabisa, sio huyu wetu TUTU VENGERE sijui anawaza kuuza wachezaji apate cha juu basi.
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,934
2,000
Breaking Newz!!! Kampuni ya BIA nchini TBL inapenda kuishukuru Timu fulani (jina tunalo) kwa kuweza kununua bia 94,000,000 million tisini na nne na ushee hivi!! Kampuni inaishukuru saaana hiyo timu! Kwani tangu imeanza kuuza bia haijawahi kupata faida kubwa kama hii ndan ya mwezi mmoja! Kwa takwimu za harakaharaka kampuni imepata Tsh 188,000,000,000 (wastani billion 2). Kampuni inaahidi itaendelea kuzidhamini timu zote mbili! Yaani wale ambao wachamungu pamoja na wale walevi ingwa hawajuwi mpira! Kwani hata maandiko yanasema! Yaache Magugu yaote na ngano!!! Bwana alitoa! Na Bwana ametwaa! Jina la................... Imenukuliwa kutoka kwa Meneja Masoko TBL (Bwana Kavishe)

MFANO WA MAGUGU NA NGANO (Mathayo 13: 29)
29Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang'oe, kwa maana wakati mking'oa magugu mnaweza mkang'oa na ngano pamoja nayo. 30Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji, wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto, kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.' ''
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,544
2,000
Sikufurahishwa na kauli ya Manji kwamba mzee Akilimali anazeheka vibaya. Manji lazima atambue kwamna soka la Simba na Yanga si lelemama. Juma Kaseja pamoja na kwamba ni rafiki wa Manji lakini ana kadi ya Simba, ni mwanachama wa Simna. Kosa la Akilimali liko wapi?

Manji yuko sahihi, kwanza amezungumza vitu ambavyo ukivifanyia reasoning vinakubalika.
Akilimali anaishi kwa kukariri wakati mambo yanabadiilika.
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Sikufurahishwa na kauli ya Manji kwamba mzee Akilimali anazeheka vibaya. Manji lazima atambue kwamna soka la Simba na Yanga si lelemama. Juma Kaseja pamoja na kwamba ni rafiki wa Manji lakini ana kadi ya Simba, ni mwanachama wa Simna. Kosa la Akilimali liko wapi?

he has the money, he can say whatever he pleases and there is little wazee wa yanga can do. Umaskini kazi kweli!!!!
 
consigliori

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
392
195
Huyo mzee Akilimali ndo anaoharibu mpira, yeye bado anafikiria kizamani, yaani kuwafunga simba ndo kikubwa kwake. Manji na uongozi wake wanafikiria kuchukua ubingwa na kufanya vizuri champions league.

Asijidanganye kuwa kazidiwa fedha tu na Manji, hata uelewa wa namna ya kuendesha mipango ya klabu kisasa kazidiwa kwa mbali sana.

Tatizo Manji ndo M/Kiti hivyo hakuna ujanja ujanja wa kujipatia pesa.
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,886
2,000
Hivi manji ndio kocha wa yanga?waswahili mbona mna maneno maneno?Kosa la manji ni kwamba,hajanunua match kwa vile aliona ni bonanza,sasa ameona muziki wa simba ndo kaahidi hawatarudia tena. Kwa hiyo hata mkitufunga kwenye ligi nitaamini tu ni biashara ambayo manji ameitangaza mpira ulichezwa kwenye bonanza!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kumbe ndio maana alisema mzigo wa lawama abebeshwe yeyeeeeee,kumbe alikuwa hajatia midolari yakeeeeeeee ili washindeeeee,kumbe huwa wanashindaga kwa mbinuuuuuuuuu!,teh teh teh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom