Recent content by Gustavo Gaviria

  1. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya

    Sitolizungumzia hilo. Tustick kwenye mada husika
  2. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya

    Ni kitu hakiwezekaniki?
  3. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya

    Wakuu kwema. Endapo nimeajiriwa kama Mtendaji wa kijiji chini ya Tamisemi, Nikaomba nafasi ya kazi jada ya uuguzi chini ya wizara ya afya, je nitaweza kuhama kutoka tamisemi kwenda wizara ya afya? Msaada wenu wakuu
  4. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2:14
  5. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

    Windows 11 has a very good UI.
  6. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Husband is needed

    Vigezo vyako vyote ninavyo, pia nataka mke, ila mimi pia nina vigezo, sijajua kama unaweza kuwa navyo.
  7. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

    Gave a shot about this one 3 years ago, didnt work out though situations have changed. I pray you find the man of your desire.
  8. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri jinsi ya kujihadhari nisiuziwe gari la wizi

    Jacktan hana tamaa kabisa mkuu
  9. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Watu wengi wana stress na hate sana, if something didnt happen or cant happen to them, they claim it not to be true...Dont hate be inspired...watu wengi wana mioyo ya chuki
  10. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanavutiwa na mambo haya

    Bado uko katika stage ya kufanya mambo kwa ajili ya kuvutia wanawake?
  11. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

    Dotto magari infolensi, mtu peace sana
  12. Gustavo Gaviria

    JamiiForums Tanzania Ana watoto watatu, ila hataki mwanaume mwenye mtoto

    Huu ubinafsi wa kiwango cha juu sana Una watoto watatu wa kwako ila unasema huamini katika kuwa mahusiano na mwanaume mwenye mtoto. Ama unapenda mwanaume awe baba kwa watoto wako ambaye ulizaa na mtu mwingine. Ila akiwa baba na kutimiza majukumu kwa mtoto wake unakunja sura na amani inapotea...
Back
Top Bottom