Kuhama kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya

Gustavo Gaviria

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
633
Reaction score
1,119
Wakuu kwema.

Endapo nimeajiriwa kama Mtendaji wa kijiji chini ya Tamisemi, Nikaomba nafasi ya kazi jada ya uuguzi chini ya wizara ya afya, je nitaweza kuhama kutoka tamisemi kwenda wizara ya afya?

Msaada wenu wakuu
 
Hapo pagumu ila unaweza kua afya lakini boss wako akawa tamisemi
 
Wakuu kwema.

Endapo nimeajiriwa kama Mtendaji wa kijiji chini ya Tamisemi, Nikaomba nafasi ya kazi jada ya uuguzi chini ya wizara ya afya, je nitaweza kuhama kutoka tamisemi kwenda wizara ya afya?

Msaada wenu wakuu
Ungetueleza kwanza Uliwezaje kuajiriwa kama mtendaji wa Kijiji na kada yako ni uuguzi?
 
Fanya kazi pata uzoefu kwanza kisha muda wa kwenda masomoni ukiwadia kaongeze elimu huku ukijaribu bahati za uhamisho
 
Hapo Unahama vizuri tu ioa sio kwenda Wizara ya Afya ni unabako Halmashauri hapo hapo kama Muuguzi ila hata wizra inawezekana ni mchakato mgumu sana hasa mazingira ya Sasa option namba moja kubakia Tamisemi ndio nyepesi zaidi
 
Hapa sijaelewa kama idea ni kuhamia wizara ya afya yaani Dom kwavile umesomea uuguzi au unataka uachane na utendaji kwa kuhama kazi.

Kama ni hii ya pili ni unatakiwa uombe recategorization ukishathibitishwa.

Hata hivyo Mtendaji na Muuguzi in the long run mtendaji atampiga gap muuguzi
 
Mtendaji ampiku Muuguzi!?? Mkuu Rudi. Nyumbani Pombe zimefima kichwani sasa
 
NDIO

HAKUNA MTENDAJI ATAMPIKU MUUGUZI HATA YULE EN
Okay sawa. Sasa kwa mfano wa mleta mada means hawa wote wako chini ya TAMISEMI. Sasa tusimfuate nesi aliye Mhimbili tudeal na huyu aliye TAMISEMI.

EN, RN, NO wanasimamia miradi gani?

EN, RN, NO wana access na fursa gani?

EN, RN, NO wanaweza ingia ofisini saa moja asubuhi na kuondoka saa mbili asubuhi?

EN, RN, NO wanaweza kuondoka ofisini wiki na gap lisionekane?

Mafunzo wanaenda wote? Kusimamia mitihani wanaenda wote?

In the long run huyu mtendaji anamuacha muuguzi.
 
Hizo story Mkuu achana nazo Bahati nzuri sana nina watu wengi wanajua ni watendaji ni Wadada kama wa3 hivi maiha yao nayajua vizuri tu

Narudia tena hakuna Mtendaji anaeweza mzidi Muuguzi hizo stiru sijui miradi sijui kusimamia mitihani achana nazo mambo sio rahisi kiasi hicho Mkuu
 
Kijana tembea nchi hii uone...

Wenzio wanakula 10% na Gavo

Ikipata 500 na wenyewe wanapata 500 ... Na ndio maana ukitaka kumuumiza Mtendaji mpeleke akakae Halmashauri
 
Chief mtendaji gani anasimamia mitihani huyo?

Ingawa unasema stori ila haujajibu nilichouliza.

Hao watu watatu unaowajua waulize wanakwama wapi kumpiku muuguzi. Kikubwa wawe wamekaa kuanzia miaka 4 kazini.

Ukiweza nijibu nilichouliza ukishindwa kila mtu abaki na anachojua mkuu
 
Kijana tembea nchi hii uone...

Wenzio wanakula 10% na Gavo

Ikipata 500 na wenyewe wanapata 500 ... Na ndio maana ukitaka kumuumiza Mtendaji mpeleke akakae Halmashauri
Jamaa itakua anaowajua wanamuongopea.

Mimi nimekutana na watendaji wanalazimishwa kufanyiwa recategorization na walikua hawataki kuisikia.

Mtu yupo ofisini ana degree ya kitu kingine anaambiwa afanyiwe recategorization anagoma. Halafu huyu jamaa anasema stori tu
 
Back
Top Bottom