Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind?
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim: [emoji15] [emoji33]whaat!!!
Bwenga: Ujasikia au[emoji1610]chukua time sir [ huku akipishana na mwalim kwenda kona ingine ]
Mwalim: [emoji51][emoji51] [ anamshika kwa hasira anampiga...
Facts
Without teacher we cant get doctors, politician's, professors, police officer's etc.
Salute to teacher and I thanks them more!
Without them I cant be a Doct.
Sent using Jamii Forums mobile app
U plzzz control ur language that u using plzzz over plzzz
In my side I'm not a facilitor but i saw various challenges facing our facilitors
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh we hujuw kabsa
Huwez sema mwalimu unamsomesha mtoto akiwa na nidhamu mbaya hata siku 1 hawez faulu
Kingine syo kuwa walimu wajipatia haki ya kuwachapa wanafunzi,
Ieeleweke wazi hakuna mwalimu mjinga na alyepata kichaa cha kumchapa mwanafunzi
Shida ni kwamba wengi wao nidhamu "F"...
Kumbe ni private!!!! Actually kuna shule za private famous one ambapo academically and morally ziko good na wazaz wanazifaamu shule hizo kuwa ziko vizur.
Thus why mkuu wa shule mwenyewe ainaiamini shule yake na anawaanimi walimu wake pia.
Mtoto anawahi fika shule.
Niadhamu yake iko good.
Mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.