Recent content by gulu

  1. gulu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Bora nae amekufa, alivyowatanguliza wenzie alijua yy ataishi milele
  2. gulu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Ni vizuri
  3. gulu

    JamiiForums Tanzania Hivi EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao vipindi hadi kufanya na huyu mkaa uchi????

    Angekuwa mzur ss hal hii yuko hv na anafanya hv
  4. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimwambia sehemu ninayoishi. akakata mawasiliano,akaniblock na sasa hayupo hewani kabisa.

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] mwambie unaish ostabey
  5. gulu

    JamiiForums Tanzania Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

    Mhhhhhhhjjhjj
  6. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amuacha mkewe kisa mkewe hapendi utani

    Alikuwa hampendi bhana coz mnapooana kila mtu anakuwa na tabia yke lkn mnarekebishana taratibu hd mnakuwa sawa
  7. gulu

    JamiiForums Tanzania Amwaga zege kwenye gari aliyomzawadia mpenzi wake baada ya kuachana

    Roho mbaya na ushamba vinamsumbua
  8. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanamke wa kuoa, wala usimcheleweshe

    Muoe lkn na ww hapo baadae ukija kuwa mambo safi usimchanganyie wanawake utamtesa coz yy anaonyesha anakupenda
  9. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za vibamia

    [emoji85] [emoji85]
  10. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

    Pole sana,mwambie mkeo alf muite mama wa mtt na bb aliyepewa mtt muyazungumze a watakuelewa tu,akikataa kapime DNA ili ajue mtt anelea sio wake...na ujifunze pia ukisafir jitahid kutafuta mawasiliano na kuhudumia mlowaacha huku
  11. gulu

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Ohh pole nae ana wake alishawahiwa kitambooooo na hana tbia ya kuchanganya [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. gulu

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mtoto afariki baada ya kuangukiwa na jiwe

    Pumzika kwa amani na poleni wanafamilia[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
  13. gulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

    Kuna mambo hukumbuka......mwingine hufurah hd kulia,mwingine kaondokewa na mtu muhim km mm au bb so ile cku anakumbuka wazaz wang wangekuwepo labda wangefanya hv au vle mtazamo wangu
Back
Top Bottom