Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Kijana kakwepa majukumu kiaina
Mmh! Yawezekana alijua wakizoeana sana ataanza kukubali utani. Maisha magumu sana, ya kuishi kama mtu na mkwewe!!?Ndio hapo mkuu,wengi wao wanaingia kwenye ndoa wakiwa na kigezo kimoja cha kumaliza nyege, wakiwemo ndani sasa wanagundua kuwa ndoa ni mkusanyiko wa vitu vingi sana na ni jumla ya maisha yako unayoishi kila siku.
kwani tendo linachukua muda mchache sana kwa siku yenye masaa ishirini na nne.
Angevumilia tu kwani kiashiria alikiona wakati wa uchumba na akakipuuzia.
wengi
Kijana kakwepa majukumu kiaina
Kuna mdau hapo juu kasema yeye na mpenzi wake wakiwa chumbani hukimbizana wakiwa uchi. Hayo na utani mwingine ndiyo vinanogesha penziMtu unaweza kuona sio sababu ya msingi ila inaboa jamani kuishi na mtu aliye serious 24/7
Hii ipo hata kwa mahusiano na wazazi wetu . . .mtu unakuta anaongea na baba ake kama anaongea na polisi
Wapenzi/waume ni kama mabest zetu
Binafsi naprefer mwenye ucheshi&utani utani
Utani una uzito wake ktk mapenzi mkuu. Huyu jamaa yuko sawa kabisaHatari hiyo
Ni kweli kabisaKuna mdau hapo juu kasema yeye na mpenzi wake wakiwa chumbani hukimbizana wakiwa uchi. Hayo na utani mwingine ndiyo vinanogesha penzi
Mkuu uckute alitafutiwa bk.. So hawakuzoeana had cku ya harus.. Walvyoanza kuishi kakuta hali ngumu!Ndoa sio dude bhana mbona tunatishana.....
Kipindi cha uchumba waliishije labda??! Hakuliona hilo au aliona halafu akapuuzia, sasa ndo analalamika sio!!
we kweli mpenda arage, hahahaHa ha ha haaa!! Wenzie tunakimbizana uchi chumbani hadi raha!!
We kweli mpenda arageHa ha ha haaa!! Wenzie tunakimbizana uchi chumbani hadi raha!!

Labda alutafutiwa na dada wakakutana kanisani wakati wa kufunga ndoaNdoa sio dude bhana mbona tunatishana.....
Kipindi cha uchumba waliishije labda??! Hakuliona hilo au aliona halafu akapuuzia, sasa ndo analalamika sio!!
Amfate mkulu wataenda sawa katika kunyoosha nchi!Umeona ee mkuu!!!?
Siyo nipe shuka hilo!
Lete shati hilo!
Lala nikunanihii!
Amka kumekucha!
Too boring kwakweli
DuhMwambie aje kunioa mm ntamtania mpk achoke, akitaka papuchi naanza kuenda mbio chumbn mpk atachoka kunikimbiza ataishia kulala, akirudi kazn anakuta meza imepambwa fresh hot pots zimefunikwa safiii akifunua empty msosi hamna na mengne meng mm napenda sana utani!!
Hilo haliwezekaniLabda alutafutiwa na dada wakakutana kanisani wakati wa kufunga ndoa
Hapo ni ngumu kuamini, hata kama umetafutiwa lazima walishakaa wakazoeana na kujuana hakuona hiyo tofauti kweeliMkuu uckute alitafutiwa bk.. So hawakuzoeana had cku ya harus.. Walvyoanza kuishi kakuta hali ngumu!