Recent content by Gulamseni

  1. G

    JamiiForums Tanzania Unavaa size gani ya kiatu?

    😂😂😂
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mungu hana muujiza, unaitwa muujiza kwa sababu akili za binadamu haziwezi kuelewa

    ulikuwa unataka kutueleza nn ndg!!? Maana naona contradictions nyingi kwenye maelezo yako.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwenu waendesha private car kwenda Mikoani

    mkuu ushakuwa mkubwa sasa?
  4. G

    JamiiForums Tanzania UTOAJI WA LAANA: nani mwenye uwezo wa kulaani?Je laana zote hufanikiwa? Laana nyingine zaweza kuwa dua la kuku tu.

    Laana zipo na zinafanya kazi vizuri tu na hata kwenye biblia zipo zimeoanishwa vizuri tu ngoja nikipata muda nitakuletea vifungu. Kumbuka kama neno lenyewe laana lipo maana yake linatumika.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kupata mafao yake yote NSSF baada ya agizo la Rais?

    Kiukweli hawa watendaji wa haya mashirika au sijui niseme serikali inatuchanganya sana kuhusu hili suala. Kuna mtu kaenda pale ppf kijitonyama kaambiwa hakuna utaratibu wa kulipa kwa sasa hata hiyo asilimia unayosema walisema haipo. Huyu aliacha kazi mwaka 2007 na mfuko wake ni ppf, sasa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tukisema makanisa ni taasisi za kibiashara na kiutawala kwa mgongo wa imani watu huchukia?

    Mkuu hii mambo haijaanza jana,ukitaka kujua chanzo chake kama wewe una biblia kasome kitabu cha Matendo ya Mitume yaani (Mdo 8:9-25).Hapo ndipo ilipoanzia dhambi ya biashara ya mambo matakatifu, ijulikanayo kama "SIMONIA".
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    hahaaaaa
  8. G

    JamiiForums Tanzania KCMC ni jipu!

    haahaha umejibu kwa hisia kali kweli
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kesi ya mzungu na Airbus yetu

    Ahsante sana,sasa nimeelewa!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Duh! watu mna maneno balaaa!! eti kutembea na mikasi... hahaaaa nimejikuta nacheka hatari
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tusiopenda kufanya mazoezi tuna hoja, sababu na visingizio vya msingi sana; Tuvumiliane Tafadhali

    hahaaaa hujawa na nia ya dhati kabisa ya kufanya mazoezi aisee!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufika Sinza nilitokwa na machozi sana

    hahaaaa aiseee wewe mchaga acha hizo mambo
  13. G

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujua baadhi ya daladala ni ya njia ipi kwa kuangalia abiria tu ukiwa Dar es Salaam

    hahahaa asee umewakosea sana wagogo
Back
Top Bottom