KCMC ni jipu!

KCMC ni jipu!

Kcmc Imeoza mara baada ya serikali kutia mguu pale
 
Kozi yangu ni kama ile uliyochunguzwa tezidume kwa kidole pale KCMC (kwa kitaalamu inaitwa per rectal examination)...
Huko Muhimbili unakosema ulisoma, ulisomea kozi gani? Uwezo wako wa analysis ni duni to embarrassing levels.
Kinacholalamikiwa katika thread hii umekielewa? Wapi umeona nikisema wanafunzi wasijifunze toka kwa wagonjwa?
 
Madaktari wooooooooote unaowaona hapo, walianza hivyo hivyo kama wanafunzi. Bila madaktari wanafunzi wa leo hakuna madaktari bingwa wa kesho. Elewa hivyo. Daktari wa binadamu anajifunza kwa binadamu mgonjwa jinsi ya kutibu.

Mkuu

Huwezi kuweka zamu nzima kama shift ni wanafunzi watupu bila dakatari mwandamizi wa kuangalia mambo yanaenda vizuri!

Hicho ulichotoa sio sababu bado!
 
haahaha
Muhimbili imesomesha madakatari hadi mabingwa wa mabingwa tangu tupate uhuru, mbona haina kasoro hizo?
Huo ni uzembe tu wa KCMC. Yaani unataka kutuambia kuwa ni sawa tu wagonjwa wafie mikononi mwa wanafunzi bila kutibiwa na wataalamu eti kisa nini? Kuna faida gani kuua mtu ili mwingine asome, huo ndio utaratibu?
KCMC imekuwa hospitali mbaya sana, ningeshauri hata ile "C" inayomaanisha "Christian" kwenye jina lake waiondoe waweke kitu kingine hata "Criminal" au "Cruel". Yesu Kristo asingekubali uzembe ule angewafurumusha hata kwa mangumi kama alivyofukuza wacheza kamari hekaluni. Hospitali imekuwa pango la kifo!
umejibu kwa hisia kali kweli
 
Ulitaka kudanganya kuwa Muhimbili ni tofauti. Shule yoyote ya madaktari ndio utaratibu wake. Mwanafunzi anachukuwa story ya mgonjwa, anaiwasilisha kwa mwalimu wake. Mwalimu wake anamfundisha na kumsahihisha. Mwishoe mgonjwa anakuwa kama ameonwa na mwalimu kwa sababu matibabu ya mwisho yatakayotolewa ni yale ya mwalimu, siyo ya mwanafunzi. Mwanafunzi wa udaktari wa binadamu anajifunzia kwa binadamu. Kama hautaki kupitia kwa mwanafunzi, nenda hospitali ndogo ama vituo vya afya.
Jamaa anataka kupotosha..
Kwanza kitu cha kwanza wanachofundisha kwenye clinical practice ni emergency... hakuna mwanafunzi atakaye chukua full history wakati mgonjwa yuko kwenye emergency...

Na kwa taarifa yake teaching hospital nyingi death rate yake ipo chini sababu ya wanafunzi wanachukua full history
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom