UTOAJI WA LAANA: nani mwenye uwezo wa kulaani?Je laana zote hufanikiwa? Laana nyingine zaweza kuwa dua la kuku tu.

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Biblia inatuambia kwamba "kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu." (Mithali 26: 2b).

Hii ina maana kwamba laana ya kijinga haina mathara.

Mungu hawaruhusu watoto wake kulaaniwa. Mungu ni mtawala. Hakuna mtu ana uwezo wa kulaani mtu ambaye Mungu ameamua kubariki. Mungu ndiye wa pekee ana uwezo wa kutoa hukumu.
 
Sijaelewa Mkuu kama uliuliza ama ulikuwa unatupa majibu.

Mbona kama una hofu/mashaka fulani..!

Vipi Mama wa kambo kakupa laana nini..
Biblia inatuambia kwamba "kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu." (Mithali 26: 2b).

Hii ina maana kwamba laana ya kijinga haina mathara.

Mungu hawaruhusu watoto wake kulaaniwa. Mungu ni mtawala. Hakuna mtu ana uwezo wa kulaani mtu ambaye Mungu ameamua kubariki. Mungu ndiye wa pekee ana uwezo wa kutoa hukumu.
 
Ishu ni hivi, laana. Inaweza tolewa na yeyote na kushika au kuto kushika inategemea na pande mbili.

1. Mtoaji wa Laana.
Hapa, inachezwa na imani ya mtoaj wa laaan, ametamka tu kutisha au pia kaingiza hisia katika maneno yale asemayo?

Mdomo, unaumba, yes. Kama akifata kanuni na utaratibu, universe ita respond.

Je, hiyo laana kaisemea katika mlango gani? Kuna njia na milango mingi na tools nyingi za kupitishia laana, akiwa vema hapa. Code zitaenda vizuri.

2. Anaye nenewa laana.

Je, ana amini kisemwacho kinaweza mfikia, ana hofu? Hapa akifungua mlango na masafa hayo maneno yakapenya yatafika haraka tu.

Je, anajua namna ya kufuta na kujikinga na hizi habari, hapo inategemeana sana.
 
Nguvu ya maneno inavunjwa pia na maneno
 
Biblia inatuambia kwamba "kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu." (Mithali 26: 2b).

Hii ina maana kwamba laana ya kijinga haina mathara.

Mungu hawaruhusu watoto wake kulaaniwa. Mungu ni mtawala. Hakuna mtu ana uwezo wa kulaani mtu ambaye Mungu ameamua kubariki. Mungu ndiye wa pekee ana uwezo wa kutoa hukumu.
Kwanza kabla ya kujadili mada,ingekuwa bora sana tukajua LAANA ni nini ?
 
Kuna laana zinasemwa na bila walionenewa kusikia na zinawafikia ko hata imani yako iweje kama mtu umeachiwa laana kwa sababu ambazo unaziwajibikia itakufika tu
 
Kuna laana zinasemwa na bila walionenewa kusikia na zinawafikia ko hata imani yako iweje kama mtu umeachiwa laana kwa sababu ambazo unaziwajibikia itakufika tu
 
Nguvu ya maneno inavunjwa pia na maneno
Yes, ndio maan nikaweka sehem zote mbili.

Inategemea aliyeweka kawekaje, kwa code gani. Kaweka na sadaka au just maneno tu? Kapitia mlango gani, n. K
 
Laana zipo na zinafanya kazi vizuri tu na hata kwenye biblia zipo zimeoanishwa vizuri tu ngoja nikipata muda nitakuletea vifungu. Kumbuka kama neno lenyewe laana lipo maana yake linatumika.

Biblia inatuambia kwamba "kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu." (Mithali 26: 2b).

Hii ina maana kwamba laana ya kijinga haina mathara.

Mungu hawaruhusu watoto wake kulaaniwa. Mungu ni mtawala. Hakuna mtu ana uwezo wa kulaani mtu ambaye Mungu ameamua kubariki. Mungu ndiye wa pekee ana uwezo wa kutoa hukumu.
 
Biblia inatuambia kwamba "kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu." (Mithali 26: 2b).

Hii ina maana kwamba laana ya kijinga haina mathara.

Mungu hawaruhusu watoto wake kulaaniwa. Mungu ni mtawala. Hakuna mtu ana uwezo wa kulaani mtu ambaye Mungu ameamua kubariki. Mungu ndiye wa pekee ana uwezo wa kutoa hukumu.

Laana isiyo na sababu haimpati mtu ILA ikiwa laana hiyo inayo sababu ITAKUPATA TU.

Kwa nini?

Sababu ni moja, mpaka mtu aamue kutoa laana mara nyingi anakuwa amepitia maumivu makali sana ya ki-hisia na pengine mwilini pia. Na pia mara nyingi atatoa laana hiyo kwa kuwa anaona na anaamini yeye si mkosaji bali amaeonewa. Na pia hana nguvu, uwezo, nafasi ama nia ya kulipiza lile ulilomtendea so anachokifanya ni kukupa adhabu ya asili iamue.

Kwa nini Mungu anasikia?
Sababu nyingi ila moja wapo hapendi kuonaa mtu ananung'unika juu ya jambo fulani la haki, hapendi kuona mtu anaonewa kwa haki yake etc etc

So hukumu ni hapa hapa duniani...
 
Back
Top Bottom