inaonyesha kbs hata ww cyo great thinker na wala c mwalimu wa chuo kikuu cz ma profesional huwa kamwe hawajisifii kamwe hauwezi kukuta profesor akasimama mbele za watu na kusema naitwa prof fulani never in dic world labda awe muhaya na wanainfluence hiyo cz of kabila bt waliobakia wote they dnt...
hahahahahaha maisha bila unafki hayaendiiii na binadamu tukiambiwa ukweli huwa tunaumia na kuanza kutukana na huo ndio ukweli udom chuo cha kata wahadhiri hawana wanamajengo mazuri na cafeterias nzuri....ili wale na kulala bt elimu hakuna...
hahhahahaaa ukibisha we bisha na utukane na huo...
watanzania tuna mawazo finyu sanaaaaaaaaaaa na kwa stail hii kamwe hatuwezi kuendelea hata kdg.... ndio maana hautaweza kusikia marekani ktk siasa zao wamazungumzia maswala ya udini... wat they talk is america only na kila mmarekani anaumia na kuchukia na anaweza kukuua pale tu unapomzuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.